Maalim Seif Hammad hajawahi kuongelewa vibaya si mtaani wala mitandaoni

Maalim mmmh huyu hazungumzwi vile alipewa uongozi kwenye kisahani cha chai hakupata muda wa kufaidi au kutumikia cheo chake Mungu akamuita
Si msafi kiviiiileee kitendo cha kukubali kile cheo kilifuta juhudi zake za kile alichokuwa anakipigania.
Hawa viongozi muishi nao kwa akili za ziada sio kila wanalosema wanamaanisha
Kila mtu ana siri yake moyoni
Swali ni Nia na Madhumuni ya kupigania Jambo ..... je ni kwa faida ya nani? Taifa kikundi cha watu au mtu binafsi? Tafakari CUF act act wazalendo nk
 
Back
Top Bottom