Ushauri: Maalim Seif Sharif Hamad ahamie CHADEMA

Zawadi B Lupelo

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
2,549
3,722
Baada ya kutafakari yanayoendelea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) nimegundua kuwa mgogoro huo ni mkubwa mno na hakuna namna mgogoro huo utaisha na CUF kuwa kitu kimoja.
Kilichopo hapa kuna CUF mbili ya Lipumba na ile ya Maalim Seif. Katika hali kama hii ambayo kila mtu ana msimamo mkali na kama tunavyojua mafahali wawili hawakai zizi moja mgogoro huu ungeisha kama mambo mawili yangewezekana;

Jambo la kwanza ni endapo pande mbili zingekuwa tayari kukaa chini na kuzungumza na kuamua kuumaliza huo mgogoro. Jambo hili kwa maoni yangu ni kwamba haliwezekani kabisa kwani pande hizo mbili haziaminiani hata kidogo.

Jambo la pili ni endapo fahari mmoja angeweza kuhama au kuhamishwa zizi. Hapo awali nilidhani kuwa CUF ya akina Maalim Seif ina nguvu hivyo nilidhani wangeweza kumwondosha Lipumba kumbe I was wrong Seif na kundi lake wameshindwa kumwondosha Lipumba badala yake anazidi kujichimbia chini kabisa kama mhimili wa Trumprapa. Na hii inachangiwa na sapoti anayopata kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa na kutoka kwa wafuasi wake waliopo Tanzania bara.

Kwa kuwa Lipumba anang'ang'ania kubaki Chamani jambo linalowezekana ni Seif kuhama chama na kumwachia Lipumba chama cha CUF. Siyo kwamba ni kuonesha udhaifu bali nina uhakika Seif akihama chama na wafuasi wake wa Zanzibar itakuwa ndiyo mwisho wa CUF. It is better akihamia CHADEMA na wafuasi wake maana itasaidia kujenga upinzani imara nchini na kuwa na chama kikuu cha upinzani chenye nguvu pande zote mbili za muungano.

Nashauri viongozi wa CHADEMA wamsaidie Seif kurealize hii potential,

Hiyo siku ambayo naamini ii karibu ambayo Maalim Seif atachukua uamuzi huu naisubiri kwa hamu sana.
 
Ushauli mzuri hata mie nilifikiria hivyo. Mgogoro uliopo sasa hakuna namna ya kuweka kuwakalisha nchini afu wakaelewana. Lipumba akihamia chadema hawezi kuwa na msaada sana kwa chadema tofauti na maalim hasa ikizingatiwa Sana wafuasi wengi zenj. Na hili ndo linaweza kuleta nguvu sawa ya upinzani na ccm nchini maana cuf imejikita zaidi Zanzibar kuliko hata na chadema imeweka mizizi zaidi bara kuliko visiwani. Endapo hakutakuwa na suluhisho lolote huo ndo utakuwa mwisho wa cuf.
 
siwezi kukubali ushauri wako ungejua jasho lakuingiza mbunge mmoja bungeni usingesema haya.

maalimu kajijenga kisiasa kupitia cuf huwezi kutenganisha hilo. maalimu na cuf vinategemeana. maalimu ni asset kwa UKAWA zanzibar.

kama lipumba alijiuzuli yeye ndo anapaswa kuhama. TUTAMPIMA.MAALIMU KWA HILOO AKIWEZA KUCHOMOKA HILI ATA URAIS ATAUMUDU.
 
Baada ya kutafakari yanayoendelea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) nimegundua kuwa mgogoro huo ni mkubwa mno na hakuna namna mgogoro huo utaisha na CUF kuwa kitu kimoja.
Kilichopo hapa kuna CUF mbili ya Lipumba na ile ya Maalim Seif. Katika hali kama hii ambayo kila mtu ana msimamo mkali na kama tunavyojua mafahali wawili hawakai zizi moja mgogoro huu ungeisha kama mambo mawili yangewezekana;

Jambo la kwanza ni endapo pande mbili zingekuwa tayari kukaa chini na kuzungumza na kuamua kuumaliza huo mgogoro. Jambo hili kwa maoni yangu ni kwamba haliwezekani kabisa kwani pande hizo mbili haziaminiani hata kidogo.

Jambo la pili ni endapo fahari mmoja angeweza kuhama au kuhamishwa zizi. Hapo awali nilidhani kuwa CUF ya akina Maalim Seif ina nguvu hivyo nilidhani wangeweza kumwondosha Lipumba kumbe I was wrong Seif na kundi lake wameshindwa kumwondosha Lipumba badala yake anazidi kujichimbia chini kabisa kama mhimili wa Trumprapa. Na hii inachangiwa na sapoti anayopata kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa na kutoka kwa wafuasi wake waliopo Tanzania bara.

Kwa kuwa Lipumba anang'ang'ania kubaki Chamani jambo linalowezekana ni Seif kuhama chama na kumwachia Lipumba chama cha CUF. Siyo kwamba ni kuonesha udhaifu bali nina uhakika Seif akihama chama na wafuasi wake wa Zanzibar itakuwa ndiyo mwisho wa CUF. It is better akihamia CHADEMA na wafuasi wake maana itasaidia kujenga upinzani imara nchini na kuwa na chama kikuu cha upinzani chenye nguvu pande zote mbili za muungano.

Nashauri viongozi wa CHADEMA wamsaidie Seif kurealize hii potential,

Hiyo siku ambayo naamini ii karibu ambayo Maalim Seif atachukua uamuzi huu naisubiri kwa hamu sana.
Shida ni kuwa huijui CUF na wala humjui Maalim wala Lipumba na mienendo yao ya kisiasa,na ujue urafiki wa Chadema na CUF ulitokana tu na Bunge la Katiba ,kwani hapo mwanzo hakuna chama kilichokuwa tayari kushirikiana,nadhani ungerejea wakati wa nyuma walipotakiwa kushirikiana kuhusu uteuzi wa mawaziri vivuri na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni,jiulize Haji Duni kama bado yupo Chadema na yale aliyoyasema wakati akirejea CUF.
 
Kwa siasa za Zanzibar, wafuasi wa CUF wanaweza kuhamia chama kingine na wabaki na nguvu ile ile au ikaongezeka. Ni rahisi kufanyika kwa sababu za kijiografia na kihistoria.
 
wazo zuri sema vile vilivyo asijiunge na chadema ila waanzidhe chama kipya kitakachojumuisha wapinzani wote ambao wana nia ya dhati ya kuitoa ccm madarakani na kuleta mabadiliko ya kweli!! hapo ndio itakuwa mtego kwa lipumba kma atakubali kupoteza uenyekiti wake kma aking'ang'ania ataonekana pandikizi hivyo popote ambapo maalim ataenda atakuwa na ufuasi mkubwa na 90% ya CUF itamfuata !!!

muhim ni chama kipya kisajiliwe ila akisema ajiunge na chadema itaonekana kma amenunuliwa au ni kweli chadema ilivuruga cuf
 
Kwani mpaka sasa wewe unasubiri ishara gani ili kujua Lipumba ni pandikizi? Kwa haya anayoyafanya Lipumba na kuungwa mkono na msajili, ni wazi kuwa anatumika kisiasa. Wala tusisubiri mpaka chama cha "wapinzani wote" kuundwa ili kujua kwamba Lipumba ni msaliti. Inasikitisha sana...
 
Nashauri viongozi wa CHADEMA wamsaidie Seif kurealize hii potential,

Hiyo siku ambayo naamini ii karibu ambayo Maalim Seif atachukua uamuzi huu naisubiri kwa hamu sana.

Hili linaweza kuwa ni wazo bora sana kwa kuliangalia. Tatizo lake ni kuwa akifanya hivyo itakuwa ni kujaribu kukaribisha mafahali wanne ndani ya zizi hilo hilo..
 
Baada ya kutafakari yanayoendelea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) nimegundua kuwa mgogoro huo ni mkubwa mno na hakuna namna mgogoro huo utaisha na CUF kuwa kitu kimoja.
Kilichopo hapa kuna CUF mbili ya Lipumba na ile ya Maalim Seif. Katika hali kama hii ambayo kila mtu ana msimamo mkali na kama tunavyojua mafahali wawili hawakai zizi moja mgogoro huu ungeisha kama mambo mawili yangewezekana;

Jambo la kwanza ni endapo pande mbili zingekuwa tayari kukaa chini na kuzungumza na kuamua kuumaliza huo mgogoro. Jambo hili kwa maoni yangu ni kwamba haliwezekani kabisa kwani pande hizo mbili haziaminiani hata kidogo.

Jambo la pili ni endapo fahari mmoja angeweza kuhama au kuhamishwa zizi. Hapo awali nilidhani kuwa CUF ya akina Maalim Seif ina nguvu hivyo nilidhani wangeweza kumwondosha Lipumba kumbe I was wrong Seif na kundi lake wameshindwa kumwondosha Lipumba badala yake anazidi kujichimbia chini kabisa kama mhimili wa Trumprapa. Na hii inachangiwa na sapoti anayopata kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa na kutoka kwa wafuasi wake waliopo Tanzania bara.

Kwa kuwa Lipumba anang'ang'ania kubaki Chamani jambo linalowezekana ni Seif kuhama chama na kumwachia Lipumba chama cha CUF. Siyo kwamba ni kuonesha udhaifu bali nina uhakika Seif akihama chama na wafuasi wake wa Zanzibar itakuwa ndiyo mwisho wa CUF. It is better akihamia CHADEMA na wafuasi wake maana itasaidia kujenga upinzani imara nchini na kuwa na chama kikuu cha upinzani chenye nguvu pande zote mbili za muungano.

Nashauri viongozi wa CHADEMA wamsaidie Seif kurealize hii potential,

Hiyo siku ambayo naamini ii karibu ambayo Maalim Seif atachukua uamuzi huu naisubiri kwa hamu sana.
Huyu Maalim sasa apishe wengine. MTU anashindwa uchaguzi mara 5 bado yupo tu. Aondoke zake huko!!
 
ndivyo ccm mutavyotaka sio au mzee mumeonowa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom