Maalim seif;hamad rashid sio mwana cuf

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Katibu mkuu wa cuf amesema hamad rashid sio mwanachama wa cuf kwakua alishafukuzwa hiyo cuf haina mpango nae;pia amewataka wana ukawa wasihofu ccm mwakani ndio mwisho wake watake wasitake timu ya ukawa imejipanga
 
...umesomeka maalim,mamluki wote hawana nafasi wameanzisha vyama vyao kwa msaada wa maccm ili kushambulia cdm na cuf badala ya kuwatumikia wananchi,ukawa ni zaidi ya moto wa gesi lumumba inawaka ...
 
Seif nae hatabiriki tuwe makini. Ni muhimu kuzungumzia UKAWA kwa sasa na kushirikiana kuhusu katiba mpya.

Kuhusu uchaguzi 2015 kuna mambo lazima yaafikiwe kwanza kuepuka migongano.

We have to cross that bridge when we get there.
 
Back
Top Bottom