Maalim seif hamad....mandela wa zanzibar?

Ustaadh

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
413
19
  • Amekuwa anapigania 'haki na usawa' katika visiwa vya Zanzibar kwa miongo kadhaa.
  • Keshakumbana na misukosuko kadhaa katika upiganaji wake
  • Amekuwa anadai kila mara kuwa serikali ya CCM huwa inamuibia kura na yeye huwa ndiye mshindi halali katika chaguzi zote zilizopita isipokuwa wa mwaka huu.
  • Amevumilia mengi na sasa kakubali kuwa na mashirikiano na CCM ili kuimarisha amani na mshikamano visiwani.
  • Kuna wanaomkubali kwa 'ushujaa' wake na kuna wanaombeza kwa 'unafiki' wake.
  • Vyovote iwavyo kasababisha mabadiliko visiwani......"kwa kiasi fulani" tunaweza kumfananisha na Mzee Nelson Mandela ingawa kwa mbali saaaana. Wewe unaonaje?
 
Attachments

  • SeifSharif_A1_Poster.jpg
    SeifSharif_A1_Poster.jpg
    11.3 KB · Views: 23
The turning point ilikuwa muafaka wala siyo yaliyotokea juzi na Seif . Ingekuwa hakuna muafaka ingekuwa shughuli nzito sana.
 
he is no body!!! u cant compare him wid Mandela th great......huyo ni kama kinana au makamba
 
How in the earth can you compare Mandela and this trait....!!!!!!!!?????????? Amewauza wazenji na haki yake kwa u-vice?
 
he is just a political slut!.....dont' you ever compare him with someone like mandela!!
 
Kuna vitu ambavyo vinanifanya nijiulize, kwa nini Seif kakubali matokeo haraka sana?
Je ni kwa sababu ya kuleta amani ZNZ?, au ni kwa sababu kaamua kugive up, kwa sababu kachoka kushindana na CCM?
Kama idea yake ilikuwa ni kuleta Amani ZNZ, inamaanisha kwamba alikuwa anapoteza muda wote ule kushindana na CCM. Kwa sababu, kuna watu walikufa kwa sababu walikuwa wanaamini kwamba CUF ndiyo chama kilichoshinda. Sasa kwanini, alikuwa mkaidi kuhusu CCM, wakati akijua kabisa kwamba object yake ni kuleta amani ZNZ, na siyo mabadiliko.

Object ya Mandela ilikuwa tofauti kabisa na Seif. Mandela aliweza kukamilisha kile alichokuwa anakitaka kwa ajili ya maslahi ya S. Africa.
 
Mimi nakuwa na wasiwasi, huyu bwana alikuwa na nia ya madaraka zaidi. Hivi wale wapemba waliokufa, kuwa vilema, na kufanyiwa vitendo vya kinyama walipewa nafasi na uzito gani katika huu muafaka unaowapa kushiriki uongozi wa nchi?. Kama hawakupewa kipaumbele cha kwanza basi hawa waliangalia maslahi yao ya kiuongozi. Hivi hawa wameifanyaje CUF kuwa CCm B? inashangaza kweli.
 
  • Amekuwa anapigania 'haki na usawa' katika visiwa vya Zanzibar kwa miongo kadhaa.
  • Keshakumbana na misukosuko kadhaa katika upiganaji wake
  • Amekuwa anadai kila mara kuwa serikali ya CCM huwa inamuibia kura na yeye huwa ndiye mshindi halali katika chaguzi zote zilizopita isipokuwa wa mwaka huu.
  • Amevumilia mengi na sasa kakubali kuwa na mashirikiano na CCM ili kuimarisha amani na mshikamano visiwani.
  • Kuna wanaomkubali kwa 'ushujaa' wake na kuna wanaombeza kwa 'unafiki' wake.
  • Vyovote iwavyo kasababisha mabadiliko visiwani......"kwa kiasi fulani" tunaweza kumfananisha na Mzee Nelson Mandela ingawa kwa mbali saaaana. Wewe unaonaje?
give me a break lol!
 
maalim seif ni kiongozi mahiri na huwezi kumfananisha na mtu kama slaa ambae anatamaa na madaraka!!!!
 
Maalim Sefu sasa amejidhihirisha wazi kwamba ni CCM operative. Kuna mambo mengi sana yameripotiwa behind the scenes baina ya CCM na CUF. Ile dhana ya muafaka pia inadaiwa ilijumuisha kufufuliwa kwa mafao ya Seif wakti alipokuwa Waziri Kiongozi kabla ya kutupwa lupango na Nyerere. This guy might be more interested in securing reliable pension.
 
Hivi watanzania mtachoka lini kumlinganisha mtanzania mwenzenu na mtu wa nje? Mandela is Mandela. Seif is Seif. Obama is Obama. Kila mtu anakuja na personality yake duniani.
 
Maalim Sefu sasa amejidhihirisha wazi kwamba ni CCM operative. Kuna mambo mengi sana yameripotiwa behind the scenes baina ya CCM na CUF. Ile dhana ya muafaka pia inadaiwa ilijumuisha kufufuliwa kwa mafao ya Seif wakti alipokuwa Waziri Kiongozi kabla ya kutupwa lupango na Nyerere. This guy might be more interested in securing reliable pension.

Nailed it.
 
Maalim Sefu sasa amejidhihirisha wazi kwamba ni CCM operative. Kuna mambo mengi sana yameripotiwa behind the scenes baina ya CCM na CUF. Ile dhana ya muafaka pia inadaiwa ilijumuisha kufufuliwa kwa mafao ya Seif wakti alipokuwa Waziri Kiongozi kabla ya kutupwa lupango na Nyerere. This guy might be more interested in securing reliable pension.[/QUOTE
Hakuna jema kwa watanzania,,,,,, labda SLAA ndio anaweza kulinganishwa na mandela. na watanzania wamonyesha kumkubali kwa kiasi kikubwa sana hadi wamemchagua kwa less than 25 percent!!!!!!!!

How in the earth can you compare Mandela and this trait....!!!!!!!!?????????? Amewauza wazenji na haki yake kwa u-vice?

Nothing can be further from the truth.Seif kukubali matokeo kwa ujasari mkubwa is commandable.
Issue here siyo u-vice(remember as per provision ya muafaka cuf is entitled t o almost 50 % cabinet position)
Kukataa matokea ni kuirejesha zanzibar back to square one,a far worse position than working for change
from within the sytem/a brilliant strategic move.Hongera Maaalim/Hongera Amani/Hongera wa Zanzibari.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom