Maalim Seif Hamad (Katibu Mkuu - CUF) na Kashfa ya Ufisadi wa 500M za Chama

Inaonekana matusi ndio siasa za bongo si ccm, chadema, kafu wala nccr
 
Maalimu Seif (Katibu mkuu wa Cuf na Makamu wa Kwanza wa Rais) ameporomosha matusi makuu Cuf Leo Buguruni baada ya kuwafukuza waandishi wa Habari.seif amewambia wanachama wa CUF Moa wa DSM kuwa Hamadi rashid ni Mwanaharamu na Mwendawazimu . Hata kama ukimuweka kwenye Chupa atajitokeza ili watu wamuone.!!Ametoa msimamo kuwa watu wote wanao muunga hamadi Rashid ni haramu pia na Chama kitawafukuza katika matawi yao!!!


Baada ya kutoa matusi hayo ambayo yalirudiwa mara kwa mara na kila aliyehutubia wakiwemo Julius mtatiro, Ismail Jussa na Khamas ally macharo wanachama waliokuwa wanasikiliza waliondoka kwa hasira!!!!!!!!!!!

Seif amesema atamufukuza Hamadi Mohamed rashid kama alivyofukuzwa Nyaruba(Mwenyekiti wa CUF zamani)
 
Nilitegemea Mallim angerudisha upendo kwa Hamad hasa baada ya mahojiano ya leo kati ya Hamad na star TV na Hamad alisema wazi kuwa anampenda Maalim na anamheshimu sana.
 
huyu ni mwehu amekolea na penzi la ccm kwa hiyo anaona hamadi rashid akichukua ukatibu mkuu atakikosa cheo cha umakamu wa raisi cuf imepoteza mvuto
 
Kama Hamad Rashid ni mwanaharamu mbona yeye Seif inasemekana ni mtoto wa nje wa Sultani wa Zanzibar; je huko sio kuwa mwanaharamu?
 
janja ya ccm tu. ccm wana mbinu kali kama illuminati na freemansons. sasa wanatarajia matokeo mazuri 2015. Cha msingi ni chadema kukomaa tu sasa wasije na wao wakaingiziwa kidudu mtu kiwatafune.
 
...ananikumbusha baadhi ya wanawake maskini anapoolewa na mwanaume tajiri. Hubadili tabia kabisa.
Kasheshe ni pale anapoachwa au mume kufa.
Hahahaaaa....
 
CUF i see your natural death from very far. Mnavikumbuka NCCR na TLP, vilitingisha sana tena kutingisha Tanzania na sio Zanzibar tu! Where are they today? You are going the same way. Mbona mnatuangusha watanzania?
 
Maalimu Seif (Katibu mkuu wa Cuf na Makamu wa Kwanza wa Rais) ameporomosha matusi makuu Cuf Leo Buguruni baada ya kuwafukuza waandishi wa Habari.seif amewambia wanachama wa CUF Moa wa DSM kuwa Hamadi rashid ni Mwanaharamu na Mwendawazimu . Hata kama ukimuweka kwenye Chupa atajitokeza ili watu wamuone.!!Ametoa msimamo kuwa watu wote wanao muunga hamadi Rashid ni haramu pia na Chama kitawafukuza katika matawi yao!!!Baada ya kutoa matusi hayo ambayo yalirudiwa mara kwa mara na kila aliyehutubia wakiwemo Julius mtatiro, Ismail Jussa na Khamas ally macharo wanachama waliokuwa wanasikiliza waliondoka kwa hasira!!!!!!!!!!!
kwani mwanaharamu ni tusi?? si maana yake mtoto wa nje ya ndoa?? mbona watoto wengi walozaliwa nyumba ndogo ni wanahar... u??? labda mwendawazimu kwani hamad rashid navyomfahamu si mwendawazimu
 
Wabunge wa cuf wataweka wapi sura zao wakiwa mjengoni?wataendeleza mashambuliz cdm au?lets wait on febr
 
Du hatimaye CUF inakufa rasmi, kweli hii kali, ebu tusubiri uchaguzi 2015 wazenji watapigaje kura
 
CUF i see your natural death from very far. Mnavikumbuka NCCR na TLP, vilitingisha sana tena kutingisha Tanzania na sio Zanzibar tu! Where are they today? You are going the same way. Mbona mnatuangusha watanzania?

NCCR, CHADEMA, TLP vyama hivi vipo kibiashara zaidi CUF ni Chama Dume na kinafanya kazi ya kufundisha siasa Tanzania, hemu vuta kumbukumbu 1995 kuna mkoa fulani ulichukuliwa na NCCR wote ila kwa sasa sijui hatma ya mkoa huo ipoje! Hii ndio biashara ya kisiasa inavyofanywa Tanganyika. Kwetu sisi Zanzibar siasa si biashara bali ni UKOMBOZI.
 
Badala ajibu hoja, anaanza kutoa matusi. Kweli madaraka yanaleta upofu.
 
Mbona hata Seif ni mwanaharamu tena zaidi ya Hamad? Angejua origin ya wapemba asingethubutu kutaja neno mwanaharamu. Seif ameishiwa hata na mawazo zaidi ya yale ya kuwa nyumba ndogo ya CCM.
 
Mbona hata Seif ni mwanaharamu tena zaidi ya Hamad? Angejua origin ya wapemba asingethubutu kutaja neno mwanaharamu. Seif ameishiwa hata na mawazo zaidi ya yale ya kuwa nyumba ndogo ya CCM.
Inasemekana Seif hawezi kukemea ushoga!
 
kumbe?ndoa yao na ccm kweli utamu anaupata sasa
tutaona mengi adi kufkia 2015
ila uyu mtatilo nae kapotea kweli-kweli
 
Back
Top Bottom