Maalim Seif: Haki ya Wazanzibari itapatikana baada ya miezi 3, RITA kufikishwa Mahakamani

Hvi kwan ni lazima maalimu awe katibu mkuu wa cuf,si aunde chama chake awe boss kama atakavyo!
Maneno hayo ni ya yule anayeng'ang'ania Uenyekiti ilhali aliacha mwenyewe.

Kwa sasa CUF amesahau nini?
 
Nina imani Maalim Seif anayo plan B endapo mambo hayatakuwa upande wake....na hiyo plan B kwa mtazamo wangu itakuwa SOMBA SOMBA yaani itawachukuwa wazanzibar wengi ie wana CUF na ambao sio CUF na kufanya hiyo plan B kuwa imara saana.
Siijui hiyo pln B hayo ni mawazo yangu na kama hayakubaliani na yako tujadiliane sote kwa lugha yenye staha.
 
Maalimu Seif anatakiwa amwagiwe maji ya baridi ili aamke, mana bado amelala usingizi wa pono akiburudishwa na njozi murua za kupewa nchi hivi karibuni.
 
Kumbe mgogoro wrote huu ndani ya GUF ni jitihada za Maalim Seif kupigania HAKI za Wazanzibari!!?? Naona Maalimu ameamua kusemavyote ya moyoni !!! Wa-bara kwa maalimu hamna maslahi yupo ndani ya CUI kupigania maslahi ya Zanzivar
 
Seif hana jipya. Hataki kusikiliza ushauri wa watu.

Hivi anajitambua kuwa bila kukaa na Lipumba hamna CUF kama anavyosema? Akae na lipumba ndo atafika anakotaka,

Zaidi ya hayo, atafute njia zingine za kuwa kiongozi tena. Aulize ZZK mbinu zingine.
Ina maana Lipumbavu aliponiuzulu.akaenda.Rwanda CUF ilikufa?
 
Back
Top Bottom