Uchaguzi 2020 Maalim Seif: CCM imeweka mikakati yake ya kumtafutia ushindi Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu aje nimpe mikakati ya kushinda kwenye Uchaguzi

Maalimu seif safari hii, anashindwa kwa tofauti kubwa kuwahi kutokea katika historia ya uchaguzi zanzibar. Kijana mchapakazi Hussein Ally Hassan Mwinyi ndiye chaguo la kizazi kipya
Anayesimamia Uhuru,haki na maendeleo ni mshindi,Haina hats kuuliza hiyo.
 
Back
Top Bottom