Maalim Seif avuukia kidau kuwafikiwa wananchi wa kisiwa cha Makoongwe Pemba

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273
Ni baada ya kuzuiwa barabara kuu kuelekea kisiwa cha Makoongwe na kuamua kuvuka kwa baharini kwa kutumia mashua.

@juvicuftaifa
16583699_1202141499899494_2255431818419372032_n.jpg
 
View attachment 472356

Ni baada ya kuzuiwa barabara kuu kuelekea kisiwa cha Makoongwe na kuamua kuvuka kwa baharini kwa kutumia mashua.

@juvicuftaifa
Mkuu Mr. London, asante kwa taarifa ya ziara hii, mchango wangu wa kwanza ni wa kuhusu lugha yetu adhimu, hiyo sio kidau, hiyo ni speed boat, yaani ni boti tena ya fiber, na sio dau, dau hutengezwa kwa mbao, halina injini bali huendeshwa kwa makasia, au hufungwa tanga.

Pili ni siasa za Zanzibar, ni muhimu ni huko aendako sasa angalau aanze kuwaanda wafuasi wake kwa ukweli halisi kuwa hakuna lolote au chochote kitakachofanyika kwenye urais wa Zanzibar short of 2020! .

Ukiujua ukweli,na kuukubali, the sooner the better, utaanza kujipanga kwa 2020 kuliko kutoa matumaini hewa na kuwaweka watu kwenye suspense ya great expectations kufumba na kufumbua 2020 hiyo bila maandalizi yoyote ya kuisindikiza tena CCM! . Vinginevyo it will be too little too late! .

Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!

Paskali
 
Kweli hakuna uchaguzi hadi 2020 na znz na tz hakuna misaada hadi 2020 na hilo ndilo lengo la seif
 
Barabara kuu utaenda nayo kisiwani?au kuna daraja yakheee

kwani pale kigamboni ukiachilia pantoni na dalaja ambalo limejengwa karibuni hakuna njia nyengine ya juu kule makongowe?? usijitoe faam periad
 
Mkuu Mr. London, asante kwa taarifa ya ziara hii, mchango wangu wa kwanza ni wa kuhusu lugha yetu adhimu, hiyo sio kidau, hiyo ni speed boat, yaani ni boti tena ya fiber, na sio dau, dau hutengezwa kwa mbao, halina injini bali huendeshwa kwa makasia, au hufungwa tanga.

Pili ni siasa za Zanzibar, ni muhimu ni huko aendako sasa angalau aanze kuwaanda wafuasi wake kwa ukweli halisi kuwa hakuna lolote au chochote kitakachofanyika kwenye urais wa Zanzibar short of 2020! .

Ukiujua ukweli,na kuukubali, the sooner the better, utaanza kujipanga kwa 2020 kuliko kutoa matumaini hewa na kuwaweka watu kwenye suspense ya great expectations kufumba na kufumbua 2020 hiyo bila maandalizi yoyote ya kuisindikiza tena CCM! . Vinginevyo it will be too little too late! .

Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!

Paskali

Nyinyi ndo wale ambao huwa munajitoa fahamu mukajifanya kawaida lakini moyoni kuna hofu tele., ulicholishizwa inakuwa shida kuamini kitu kingine. unahamu ifike 2020 bila maalim kuwa rais wa zanzibar lakin elewa jambo hili halipangwi na binadamu hiyo ni theory yako wewe tu uliyonayo kichwani na hutamani kusikia kitu kingine.
 
2020 panapo majaaliwa ya Maanani, nitakukumbusha.

Paskali
 
Kisiwa ni nini kwani??
Inaonyesha Pemba huujui, una mihemko au umekusudia kudanya.. Makoongwe haijaunganishwa na barabara na siyo kama kigamboni kwani hicho kisiwa hakijaungana na landmass yeyote na kisiwa kikubwa cha Pemba ukitokea mkoani. kwa hivyo hakuna barabara ambayo umezusha ya kuwa Seif amezuiliwa.. kwa hivyo ujinga wako kapeleke sehemu nyengine
upload_2017-2-21_5-2-34.png
 
Ni baada ya kuzuiwa barabara kuu kuelekea kisiwa cha Makoongwe na kuamua kuvuka kwa baharini kwa kutumia mashua.

@juvicuftaifa
View attachment 472356

Ili maalim seif afike nyumbani kwake kwa asili NTAMBWE lazima apande boti hakuna njia mbadala zaidi ya hiyo..usilete siasa za kijinga hapa eti makoongwe hiyo ni ntambwe moja ..kwanza we mpemba gani usiyeijua NTAMBWE?
 
kwani pale kigamboni ukiachilia pantoni na dalaja ambalo limejengwa karibuni hakuna njia nyengine ya juu kule makongowe?? usijitoe faam periad
Mr. London, Kigamboni sio KISIWA. Ni Mji wa Kigamboni inaelekea, kwa mujibu wa Pascal, Kiswahili kwako ni tatizo.
 
Akamatwe kwa kuhatarisha maisha yake! Anapanda mtumbwi bila kufaa life jacket!
Wangekamatwa wale wakata mikonge kutoka Tanganyika waliokivamia kisiwa cha Zanzibar kwa vidau na ngalawa kuja kufanya Mauaji 1964
Leo BOT imetangaza Zanzibar imepata misaada mara dufu! .
P.
Shule nyengine zinasomesha n a kuzalisha watanganyika hasa. Hivi hio misaada ulioitaja imeratibiwa kipindi gani? Baada ya kufutwa kwa Uchaguzi halali au baada uchafuzi wa marudio?
Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020
Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, ila kuna " occupation Force" na Rais wake daima huwa ni Halali,Uchaguzi ni2020,2025,2030...... Mapinduzi Daima mbele!!!!
Pili ni siasa za Zanzibar, ni muhimu ni huko aendako sasa angalau aanze kuwaanda wafuasi wake kwa ukweli halisi kuwa hakuna lolote au chochote kitakachofanyika kwenye urais wa Zanzibar short of 2020
Kama lugha za akina Kabila na akina Nkurunziza!
mchango wangu wa kwanza ni wa kuhusu lugha yetu adhimu, hiyo sio kidau, hiyo ni speed boat, yaani ni boti tena ya fiber, na sio dau, dau hutengezwa kwa mbao, halina injini bali huendeshwa kwa makasia, au hufungwa tanga
Mr London, msamehe Paskali kwa kuwa Kiswahili ni lugha yake ya kuiga. Tatizo la kusoma lugha darasani na kutaka uonekani Bingwa, unakuwa kama Robot, hupindi na umekakamaa hapo hapo. Anaekijua Kiswahili hucheza na maneno kwa kuyaongeza ladha bila ya kuathiri maudhui Boti ni neno la kiingereza, Dau, Mtumbwi ni Kiswahili.Kinachofungwa Tanga ni Ngalawa, Jahazi, Mashua, merikebu nk.
 
Back
Top Bottom