Maalim Seif avuliwa Ukatibu Mkuu CUF, Magdalena Sakaya apewa Ukatibu Mkuu

Magdalena Sakaya nakuomba mama angu
Usithubutu kukanyaga Ardhi ya Zanzibar wachilia mbali Pemba!!watakugawana vipande vipande!!mpaka Polisi kuja watakukuta umeshaaga dunia!!
Tafadhali mamayangu nakuusia!!

Usitegemee kama Zanzibar unaweza kukubalika!!kuna hila tatu ambazo wazanzibar kamwe hawatokukubali nazo;
1:Mkristo
2:Mwanamke
3:Mtu wa Bara/Tanganyika

Naona Chadema wanafurahi sana kwa kinachendelea ndani ya CUF
kwani chadema iliweka mgombea urais zanzibar hivyo tunafurahi kuwa maalim akifukuzwa basi ndio urais tutapata???? embu kuwa serious!!! wanaofaidika ni ccm zaidi ssi chadema tutapata hasara maana kura za upinzani zitagawanyika ssa tushangilie afu tufaidike nni???
 
Hivi huyu Profesa hata kama hawezi kuona hatima yake ya miaka walau mitano ijayo, anashindwa kuona hata ya juma moja!?

Siasa zisikufanye ukakufuru!

Hakuna ajuae hatma yake hata ya robo sekunde zaid ya Muda uliopo!
 

Mkiishiwa na hoja mnageuka vihoja!

Unatakiwa kujua Prof Lipumba alipata GPA ya 5.0 Udsm 1983 na kuwa Overall best student!

Umeshawahi kupata Alama hizo (5.0) hata ndotoni?

Hata Akina Seif huwa wanamlaumu Prof kwny Mambo Mengi tu Ila kwny Taaluma huwa wanaufyata!

CV tu ya Prof Lipumba Ina page sawa na Paper yako ya Reseach kumalizia ka degree kako ka Mkopo uliyoipata kwa Masimango ya Wanasiasa
 
Kwani kikatiba yao inaruhusiwa mwenyekiti na katibu watoke bara wote? Maana Sakaya na Lipumba wanatoka mkoa mmoja na wote ni wa bara,si watasabisha waonekane wana ukanda na ukabila,?nawaza tu lakini,japo wanachekesha sana

LIPUMBA AMECHANGANYIKIWA PAMOJA NA HAO WANAOMTUMA. ANAKUBALI KUTUMIKA KAMA MSHUMAA. ANAJIDHARIRISHA MAANA INAMBIDI AJITAMBUE KUWA YEYE NI MSOMI HIVYO NI MTU MWENYE UPEO MKUBWA SANA WA KUFIKIRIA. IWEJE ANAKUBALI KUENDESHWA NA WATU WASIO NA ELIMU KAMA YEYE???

NI AIBU SANA. ANAWEZA KUIUA CUF LAKINI AELEWE YEYE PAMOJA NA WANAOMTUMIA KUWA HAWAWEZI KUUA UKAWA. NA WANACHAMA WA CUF WANAWEZA KUJIUGA NA CHAMA CHOCHOTE NDANI YA UKAWA AU KUSAJIRI CHAMA KINGINE KWA LENGO MOJA TU LA KUMUONDOA PANYA NDANI YA NYUMBA.
 
Jambo wanalo sahau wanao taka kuvunja cafu ni kufikiria wanachama ambao vsiwani pote wanmpenda maalim sefu watatoka na fikiria watakwenda wapiii?chadema itapata nguvu mpya. .
 
Kumbe inawezekana Madabida akaka na wenzie akina Sophia simba na wakafikia uamuzi wa kumvua Kinana ukatibu mkuu na akaupewa Sophia Simba?

Nchi tamu sana hii!
 
Kwa hiyo huyu Prof na akili zake anadhani akishafanya hivi, ni nini hatma ya chama? Ni kweli ana nia nzuri na chama hiki au kuna msukumo kutoka nje? Anatoa wapi huo udhubutu wa kumvua Maalim Seif ukatibu mkuu halafu cuf iendelee kubaki CUF? Yaani Seif aliyeahangaika mpaka akapata wabunge kumi kwa mra ya kwanza katika historia ya chama eti umfukuze uongozi kirahisi hivi? Hivi CUF ya Lipumba ni chama cha upinzani kweli au wana ajenda ya siri? Mbona kila move wanayofanya ni ya kukisaidia chama tawala? ghrrrr!
 
Siasa zisikufanye ukakufuru!
Hakuna ajuae hatma yake hata ya robo sekunde zaid ya Muda uliopo!
Na wewe huna tofauti na profesa, tunaongelea hatima ya kisiasa na sio pumzi. Kwenye siasa unachopanda ndicho unavuna na ndio maana ukitumia vyeti feki havibadiliki kuwa halisi. Lakini Mungu atamlipa anachostahili!
 
Dah sasa kwanni kina maalim wasivunje chama pia chadema wavunje also ACT tuunde chama kimoja kikubwa sana cha upinzani tufumue mambo ya vyama hay tuwe wamoja tukienda hivi tumegawanyika 2020 cuf itasimamisha lipumba unakuta act inamuweka zitto then chadema lisu sijui kura zinapukutika na majimbo tutapoteza mengi sana.

kma wana cuf mnasoma hii post yangu mchukue hatua ssa kma mkimlea lipumba atawaulia chama mfanye uamuzi mmoka eithee kumtimua kabisa au munuachie hyo CUG lasihivyo 2020 utatokea mpasuko mkubwa na CUF itazikwa rasmi.
CUF itakufa tu pale Zanzibar itakapokufa. CUF si jina, ni taasisi iliojaa kwenye nyoyo ya wazanzibari wazalendo na itarithiwa kizazi na kizazi kwa jina lolote jengine lakini katu haiwezi kuwa CCM-mgando au CCM-Lipumba.
1. Hivi Katibu mkuu mpya Magdelina Sakaya anatambuliwa pia na msajili?
2. Kikatiba inakubalika kukidhi haja ya kuwa chama kina sura ya muuungano
3Magdelina Sakaya sasa atakuwa anakofia mbili? Nani Nani Katibu mkuu bara?
 
Baraza kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua, Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya.


Naomba kuuliza jina la mwanzilishi wa CUF alikuwa mzee mmoja wa kisukuma alishawekwa Lupango wakati wa Mwalimu jina lake nani? Alifukuzwa chamani huko Zenj baada ya chama kuimalika. Sasa Huyu le Prof. ni ndugu yake au? maana naona anataka kurudi kwenye nyendo za baba. Tukienda hivi vya kurithisha ndo tunakuta inakuwa kama yule king wa Morocco na yule wa Thailand.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom