Maalim Seif atoa pole kwa Waandishi wa Habari

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,735
239,357
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi ( CUF ) , ambaye pia ni Jabali la kisiasa la Zanzibar , Maalim Seif , ametoa pole kwa JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA ( TEF ) Kutokana na waandishi kupigwa katika mkutano wa viongozi wa chama hicho .

Maalim Seif amesema katika taarifa yake kwamba tukio hilo linapaswa kulaaniwa na kila mpenda haki , amani na ustawi wa demokrasia nchini .

Chanzo - Mwananchi .
 
Kwanini doria wavae ninja usoni walikuwa wanaficha nini kama kulikuwa na haki ya kudoria na kibali walipewa na boss wao
 
Back
Top Bottom