Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,665
- 239,154
Katibu Mkuu wa CUF , Mh Maalim Seif Shariff Hamad , ama Jabali la Kisiasa la Zanzibar kama anavyoitwa na vijana , ameendelea kutikisa jiji la DSM kwa kufanya ziara iliyoendelea kwenye kata ya Vingunguti.
Taarifa zinaonyesha kwamba ameongozana na viongozi mbalimbali wa CUF , ikiwa ni pamoja na manaibu meya wa Ilala Mh Omary Kumbilamoto na yule wa Jiji la DSM wakiwa pamoja na Mbunge wa Temeke , Mh Abdallah Mtolea , akiwemo pia Mh Mbalala Maharagande ambaye ni Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Habari , Uenezi na Mawasiliano ya Umma .
Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha chama chake , ikiwa ni pamoja na kuwasalimia wanachama wa cuf ambao ni wagonjwa .
Mungu ibariki cuf , Mungu ibariki UKAWA .