Maalim Seif aomba Mashirika ya Kimataifa IMF, WB, AfDB na nchi wahisani kusimamisha malipo ya Madeni ya Nchi za Afrika

Alafu bado tu wapinzani wanaonekana sio wazalendo!!

Wana-CCM,wakiwemo viongozi wastaafu,wako kimya hata kushauri tu siku hizi imekuwa ni mtihani kwao!!
Uchunguzi unaonyesha kwamba kwa nchi hii wapinzani ndio wazalendo zaidi
 
Maneno maneno tu hayatoshi kama wanaupendo wa dhati basi watoe hata msaada wa chakula au hata vifaa vya kujikinga na COVID-19 kwa wananchi ambao wameathiriwa kiajira kutokana na janga hili. Tatizo la upinzani maneno mengi kuliko vitendo. Change your mind, vinginevyo mtaishia vivyo hivyo.
Serikali inayokusanya kodi mabilioni haitoi msaada wowote kwa hao waathirika ila unataka mtu atoe hela mfukoni mwake awasaidie waathirika. Hivi hizo elimu zenu zimesaidia nini?
 
Back
Top Bottom