Maalim Seif anguruma UK

Apnga Pemba kujitenga lakini anaunga mkono kuwepo na Shirikisho la serikali ya Pemba na Unguja.
Halafu huyu ni kada wa Nyerere sio wa CCM yaani kama ukiwapanga kumi bora wa Nyerere huyu ni mmoja wapo,bado ana siasa za ujamaa wakati siku hizi zinatumika za kujitegemea.
 
Sharrif hawezi kuwa ni mtu wa Nyerere,najua ana tamaa kubwa ya madaraka kwa kiwango cha kutisha,matokeo yake ni kamwe hatokuwa rais wa zenji hata kwa damu kumwagika....tamaa yake ya urais ndio ilimfanya hata kushindwa kuwa na subira walau ya kumngoja idrisa abdul wakil astaafu japo mzee wa watu alisema atakaa kipindi kimoja tu.....tamaa yake ndio iliopelekea amuuze mzee wa watu abood jumbe ili yeye awe rais wa zenj na tamaa yake ndio leo inapelekea anadai serikali ya mseto kusudi apewe uwaziri kiongozi na tamaa iliopita kiwango leo hii ndio inapelekea atakw shirikisho ili akagombee pemba.....hakuna wazalendo nchi hii wakampiga risasi ya kichwa huyu sharrifu hamad nchi itulie
 
Watch your Mouth:
 
Sina hakika sana wazo la kumpiga mtu risasi ili atulie japoni mojawapo ya njia za kijajusi kwa maana hiyo isingepaswa kuandikwa hadharani
 
Hamad anakubalika sana Pemba kwanini Karume wasikae meza moja wakagaiana madaraka mmoja awe ameshika pemba na mwingine ashike Unguja kumaliza uhasama....
kwani kila mtu akikomaa wananchi ndio wanao umia na si wao kwani wao ni neema tupu.
 
Sharrif hawezi kuwa ni mtu wa Nyerere,najua ana tamaa kubwa ya madaraka kwa kiwango cha kutisha,matokeo yake ni kamwe hatokuwa rais wa zenji hata kwa damu kumwagika....tamaa yake ya urais ndio ilimfanya hata kushindwa kuwa na subira walau ya kumngoja idrisa abdul wakil astaafu japo mzee wa watu alisema atakaa kipindi kimoja tu.....tamaa yake ndio iliopelekea amuuze mzee wa watu abood jumbe ili yeye awe rais wa zenj na tamaa yake ndio leo inapelekea anadai serikali ya mseto kusudi apewe uwaziri kiongozi na tamaa iliopita kiwango leo hii ndio inapelekea atakw shirikisho ili akagombee pemba.....hakuna wazalendo nchi hii wakampiga risasi ya kichwa huyu sharrifu hamad nchi itulie

Hakumgoja marehemu Idrisa wakati alikuwa Waziri Kiongozi - jwacha kukariri maelezo yanayotolewa na CCM - hiyo ilikuwa ile miaka ya Chama kimoja kwani propaganda za kuharibia watu majina ndio zao na si mageni tumeona jinsi walivyomchafua Dr. Salim A. Salim na hata kama alikuwa na tamaa ya madaraka( msamiati wa CCM ) kuna ubaya gani ikiwa anaungwa mkono na Wazanzibar, na hili limedhihirika katika chagui zote kama si mizengqwe ya CCM - Kwa viongozi walioko madarakani Zanzibar na CCM Znz kwa jumla, Seif na viongozi wa CUF ni malaika kama utawalinganisha - na hili nasema siku zote kama si uongozi wa Seif Shaiff katika CUF basi Zanzibar sasa hivi kungalikuwa hakukaliki( watu wameshachoshwa na siasa zake za kibembeleza CCM) isipokuwa Mungu kamjaalia kipaji cha kukubalwa na watu na kumsikiliza ndio mambo yanakuwa kidogo ni baridi.

Kuhusu JUmbe ulitaka afanyeje kwa wakati ul ulokuwa nao ni dhahiri mzee Jumbe alikuwa anahatarisha Mungano wetu na kwa mwananchi yeyote licha ya kiongozi wa serikali na Chama kujua lililokuwa linaendelea na kunyamaza lilikuwa ni kosa, na hili ujue kuwa alomtosa Jumbe hakuwa pekee walikua wengi na mmoja wapo alokuwemo ni Kamandoo Salmin Amour.

Nakukumbusha kuwa Seif Shariff licha ya kasoro alizonazo lakini bado anaitakia mema Zanzibar na Tanzania ka ujumla na ndio anayebalance amani ya Zanzibar na hili hata CCM wenyewe wanalijua.
 
Seif ni Mtu mroho wa madaraka anayezinga madaraka kwa nguvu zote. Lakini kadri anavyoendelea ndivyo anavyoifanya ndoto hiyo kuwa ngumu kwake. Kwani Wa-Unguja ambao ndio wengi huko (Mikoa ya Kusini na Kaskazini na asilimia 70 ya wapiga kura ya majimbo ya Mkoa Mjini Magharibi)
ndivyo wanavyozidi kumkataa. Kamwe hawezi kuwa Rais wa Zanzibar, na hiyo nafasi aliyokuwa akiivizia kama kifuta jasho kwa sasa haipati tena, kwani mseto hautokubaliwa.
 
bwan sabry baachan....vipi umeme umeshawashwa??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom