Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,483
- 2,367
Muafaka wa kuunda serikali ya mseto sio kitu kidogo. Ni suala future ya wananchi wa Zanzibar, hivyo ni lazima lipate maoni yao na sio ya Seif Pekee. Wananchi wa Zanzibar sio watoto wa Seif.. Elewa hilo kwanza.read between the lines man!!A leader is the person with authority and in that case si kila kitu kinaamuliwa na wanachama wote, hiyo itakuwa ni baraza la wapiga soga,a leader is the one to provide the ones led with visions ndo maana Shariff akatamka maneno hayo, however democracy inafuata kwenye certain issues ambazo zinahitaji executive decisions! unanikumbusha mambo ya Simba na Yanga, wanachama wake wanavyofikiri kuwa watakuwa involved kwenye kila kitu hata jambo dogo tu!! Trust your leader and use democracy appropriately. Makamba ni clown of the CCM, we kumbuka watu kama Kawawa au Kolimba walipokuwa makatibu wakuu walivyokuwa wanaheshimika!!!Makamba ni kama muuza kahawa tu wa pale Ilala! Ni kioja, shule muhimu to some extent wajameni