Maalim Seif amkejeli Yusuf Makamba

read between the lines man!!A leader is the person with authority and in that case si kila kitu kinaamuliwa na wanachama wote, hiyo itakuwa ni baraza la wapiga soga,a leader is the one to provide the ones led with visions ndo maana Shariff akatamka maneno hayo, however democracy inafuata kwenye certain issues ambazo zinahitaji executive decisions! unanikumbusha mambo ya Simba na Yanga, wanachama wake wanavyofikiri kuwa watakuwa involved kwenye kila kitu hata jambo dogo tu!! Trust your leader and use democracy appropriately. Makamba ni clown of the CCM, we kumbuka watu kama Kawawa au Kolimba walipokuwa makatibu wakuu walivyokuwa wanaheshimika!!!Makamba ni kama muuza kahawa tu wa pale Ilala! Ni kioja, shule muhimu to some extent wajameni
Muafaka wa kuunda serikali ya mseto sio kitu kidogo. Ni suala future ya wananchi wa Zanzibar, hivyo ni lazima lipate maoni yao na sio ya Seif Pekee. Wananchi wa Zanzibar sio watoto wa Seif.. Elewa hilo kwanza.
 
You are right bro.
na kama CCM walijua kuna swala la kura ya maoni kwanini hawakuingiza kwenye agenda mapema kuliko kusubiri mwisho wa vikao na kuibua mambo upya. Kwanini walimpa power katibu wao mkuu kujadili kitu ambacho wanajua watakikataa baadae
 
Muafaka wa kuunda serikali ya mseto sio kitu kidogo. Ni suala future ya wananchi wa Zanzibar, hivyo ni lazima lipate maoni yao na sio ya Seif Pekee. Wananchi wa Zanzibar sio watoto wa Seif.. Elewa hilo kwanza.

Mkuu naona CCM wameanza kuwa na democrasia ya kweli, maana vitu ambavyo vinataka maoni ya wananchi wamekaa kutoa ruhusa ya kura ya maoni, lakini kitu kidogo ambacho kiko ndani ya uwezo wao ndo wanakwenda kwa wanchi nafikiri sasa democrasia imekomaa zaidi CCM
 
Muafaka wa kuunda serikali ya mseto sio kitu kidogo. Ni suala future ya wananchi wa Zanzibar, hivyo ni lazima lipate maoni yao na sio ya Seif Pekee. Wananchi wa Zanzibar sio watoto wa Seif.. Elewa hilo kwanza.

ok so maana ya meza ya mazungumzo ni nini??Hivi wewe unajua maana ya leaders!! Here is the homework for you, read something on leaders and their skills without forgetting the type of leaders!!Finish the homework by reading something on Kibaki and Raila saga!! Who sealed the deal? is it wananchi? who stopped the innocent killings? is it wananchi? The leaders are everything, ukiwa na punguani kama kikwete ndo unapata haya tunayaona na wananchi hatuna nguvu yeyote ila kumuomba tu angalau dawa za Mirembe zimsaidie!!
 
mkuu CUF na CCM ni gagulo na sidiria, yaani zote ni nguo za ndani, so hako kamchezo wanakokacheza ni danganya toto ambayo haikuanza jana wala juzi, huo mgogoro ni kama mbio za vijiti yaani kupokezana, alianza nao salmini, akampa karume na 2010 watamkabithi huyo atakayekuja.

kazi kwao wanachama wa CUF wasipouanika watautwanga mbichi.
 
Nafikiliunaweza kuwashauri vizuri zaidi CUF cha kufanya maana naona sasa ni kama wameishiwa, walitegemea wangezuiwa maandamano lakini wakaruhusiwa then what next
 
ndugu yangu mwehu hashauriki, wale jamaa kwa msaada tu wajipange kisha watoleane uvivu wawatimue viongozi woote ambao ni mapandikizi, kisha wawatafute viongozi wapinzani wa ukweli then wawape madaraka, na hii si kwa CUF tu, hapa tanzania ndani ya upinzani kuna CCM wakumwaga so hakuna kitakachoweza kubadilika kama tusipowatoa nduki mamluki.
 
Kweli kabisa kaka yangu maana ukiangalia akina Kaburu,Tambwe, Msabaha, Ngawaiya na wengine wengi unaweza ukasema hakuna upinzani Tz.
 
ooooooooh jamco umelisahau pandikizi lililo kuu nalo ni augustino lyatonga mrema.

na sasa ukitaka kujua kuwa CUF ni wavivu wa kufikiri tokea 1995 mpaka leo viongozi waao wa juu ni wale wale tu, na hao ndo uchaguzi ukiisha wanapanda ndege wanakwenda kula bata ughaibuni, kisha hawa oya oya wanaobaki wakiandamana wanapokea virungu na kutiwa vilema vya maisha, kisha baada ya muda jamaa wanarudi then wanaanza kudili na muafaka
 
Safari hii walikuwepo maana walijua maandamano yataruhusiwa kwaiyo hakuna vurugu wakaamua kuudhuria, subiri uone yanayokuja ambayo nahisi yatakuwa na vurugu watajidai na issue muhimu ughaibuni
 
hapo sasa!
na yote hayo tunayokesha tukiyasema sio kama sio kama wanachama wa CUF hayawafikii, ila sijui ni kiburi, sijui ni kurogwa au ni woga?...dah yaani nashindwa hata kuelewa
 
Maalim Seif, I said and repeating that wewe ni Dikteta, na Kwa hakika nimekulinganisha na Marehemu Jonas Savimbi.

Unatoa mfano wa Nyerere nani asiyejua kwamba Nyerere alikuwa na Kaudikteta kake nako ndiko kalikoifikisha nchi hapa ilipo!!!

Kwa mfumo wa Vyama vyetu katibu mkuu si wa kuamua mambo kama ufanyavyo wewe~!!!

Kwa mfumo wetu upi wa CUF au CCM, tafauti ameshaieleza Maalim kuwa kwenu CCM Katibu si mtendaji lakini kwa Katiba ya CUF ni mtendaji mkuu sasa kama wewe CCM hutaki hayo ni shauri yako.

Msemo wa kumfanananisha Maalim Seif na Savimbi unakosea Mkuu kama una kumbukumbu ni kuwa Savimbi aliingia msituni na akawa anadai anachoamini ni haki ya wananchi wa Angola kwa mapigano. Jee Maalim kafanya hivyo? Yeye kama hujui ndio anabembeleza amani huko Visiwani na hao wakubwa zako CM wanajua hilo - wanachama wa CUF huwa wanajiuliza kwa nini anawabembeleza sana CCM - wanafikia kumshtumu kuwa anatumiwa na chama cha mafisadi.

Huo udikteta unaosema wa SEif Sharif ndio unaonusuru nchi kwani anautumia kuwapoza wanachama na wapenzi wa CUF bila hivyo visiwa vile visingalikalika na kama huamini subiri siku atapokuwa hana wadhifa katika chama na upumbavu kama huu uwe unaendelea kama CCM hawatajua kilichomtoa kanga manyoya - ujue kuna vijana katika chama cha CUF wana hasira kwa yanayofanywa visiwani na utawala wa CCM na wameshakata tamaa ya kuwa hawana cha kupoteza - ni sawa na ule wakati wa utumwa walipochoka waliamua kudai haki yao japo wakijua kuwa watauawa na walijibu hawana cha kupoteza isipokuwa minyoro waliyofungwa basi na kama huelewi hiyo ndio hali waliyofikia wananchi wengi wa Zanzibar isipokuwa wachache wanaofaidi matunda ya Mapinduzi Daima.
 
Mdada Taratibu, maana hata hao Chadema kuna wakati uburuzwa vilevile na hii inaondoa maana halisi ya chama na maamuzi yake. Rudi kwenye mada hii na uelewe ni nini kinazungumzwa hapa.

Hao Wapemba wasingepuuza amri halali ya serikali yasingewakuta hayo. Kumbuka kuwa wao walianza fujo hizo kwa kuvamia vituo vya polisi na kupora silaha. Sasa watu wa aina hiyo utawaitaje?

Kule Zanzibar kwa maneno uloandika hapa wangalikwambia "Staafrullah" maana yake urudi kwa Mola Wako awe Allah, Jesus, Lata , au hata kama unaabudu pango au Mti kwani kama halijakufika au kuliona hujui matungu yake CCM kuuwa hapo visiwani hiyo 2001 haikuwa mara ya kwanza walishafanya mauaji mengine kama unakumbukumbu utakumbuka mauaji ya Kilimahewa au yale ya Pemba wakati wananchi wanatundika bendera ya Chama chao au na hao walivamia kituo cha Polisi na hata hayo mauaji ya makumi kama si mamia ya 2001 ambayo wewe umekariri taarifa ya CCM na kuiona ndio ukweli kama walivyosema kuwa risasi ilouwa KIlimahwa ilipigwa juu halafu ndio ikamuuwa huyo marehemu unayaamini basi sina la kukwambai wala kukufahamisha. Nilikuwa nakukumbusha tu kuwa kabla ya hayo mauaji ya Pemba siku moja(Ijumaa) kabla ya hayo Maandamano unayoyaita wewe ya kupinga amri ya serikali CCM walianza kuuwa mtu kwa kumpiga risasi akiwa anaenda msikitini na wakahoitimisha kwa siku ya pili yake Pemba yaani Jumamosi.

Wewe endelea kuamini taarifa za CCM tu na jaribu kuamini taarifa nyengine kama vile hawahusiki na pesa za EPA , hawatumii mbinu chafu katika chaguzi au viongozi wao si wabadhilifu, lakini unaposhadidia mauaji na kuyahalalisha nakwambia RUDI KWA MOLA WAKO>
 
Hivi viongozi wa ccm wanapata faida gani wapemba wakiuwawa na polisi na jeshi kila baada ya chaguzi huko visiwani?

Hili suala nashauri bora uwaulize CUF, au Maalim Seif na wapambe wake, wasiotaka kufuata sheria na taratibu zetu za kiungwana tilizojiwekea kuongoza nchi kwa mujibu wa katiba.
 
Muafaka wa kuunda serikali ya mseto sio kitu kidogo. Ni suala future ya wananchi wa Zanzibar, hivyo ni lazima lipate maoni yao na sio ya Seif Pekee. Wananchi wa Zanzibar sio watoto wa Seif.. Elewa hilo kwanza.

Wananchi wa Znz sio watoto wa Seif na wala sio watoto wa CCM. CCM ni kama nani ya kuwaamulia wananchi wa Zanzibar kama ni kura ya maoni ifanye kwa wanachama wake ndio inaweza kuwaomba maoni lakini sio wa kukaa na kusema wanata maoni ya wananchi - kwa mimi hilo tamko wenyewe ni haramu na kisheria halina hoja au labda tuseme CCM sasa ni Serikali.
 
Indeed CCM ndio serikali kwani ndio wapo madarakani... hivyo hawawezi kuburuzwa tu kwa kisingizio cha muafaka....
 
Indeed CCM ndio serikali kwani ndio wapo madarakani... hivyo hawawezi kuburuzwa tu kwa kisingizio cha muafaka....

Hakuna anayewaburuza isipokuwa wanajichanganya wenyewe kwa kutokujua nini wanataka zaidi ya kufanya usanii katika masuala muhimu ya Taifa.
 
[/SIZE][/COLOR]

Hakuna anayewaburuza isipokuwa wanajichanganya wenyewe kwa kutokujua nini wanataka zaidi ya kufanya usanii katika masuala muhimu ya Taifa.
Kama kuitisha kura ya maoni ni Usanii, basi usanii utakuwa umefika mbali...
 
Back
Top Bottom