Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,500
- 9,279
Tume ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar imemtaka Mngombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha @ACTwazalendo maalim @SeifSharifHamad kufika kwenye kamati ya Maadili Majira ya saa 7 mchana kujieleza juu ya malalamiko yaliyotolewa na chama cha Demokrasi makini kuhusiana na Kauli Aliyoitoa siku za hivi karibuni ya kuwaambia watu wakapige kura Oktoba 27 mwaka huu badala ya Octoba 28 siku iliopangwa na ZEC.
"Narudia SOTE TUKAPIGE KURA OKTOBA 27"- amesisitiza tena Maalim Seif baada ya wito huo.
"Narudia SOTE TUKAPIGE KURA OKTOBA 27"- amesisitiza tena Maalim Seif baada ya wito huo.