zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,005
- 28,627
wale walijitoa chadema na cuf baada ya consultation na CCM ssa unafkiri uhuru wasingejua???Kama ndivyo kwanini liongope kuhusu Seif?
wale walijitoa chadema na cuf baada ya consultation na CCM ssa unafkiri uhuru wasingejua???Kama ndivyo kwanini liongope kuhusu Seif?
Mkuu anaJPM watu washaanza kukuelewa
Hilo gazeti linachoandika ndo mipango ya ccm wanayoitekeleza, hapo ina maana kwamba ccm inahakikisha Seif anahama CUF kupitia kibaraka wao Lipumba.