Maalim Seif ajiandaa kuitosa CUF

Gazeti la uhuru halijawahi sema uongo kamwe.
Kumbuka lile gazeti wana usala..ma wanapeleka taarifa za kisiasa pale Lumumba.

Hata ya Lipumba na Slaa kujiuzulu walizitoa wao

Hao si walifika bei ccm, wangeshindwaje kujua?
 
Yani muandishi anamka asubuhi anajiandaa kwenda kuandika anachowaza kichwani mwake na sio taarifa sahihi
 
Gazeti la uhuru halijawahi sema uongo kamwe.
Kumbuka lile gazeti wana usala..ma wanapeleka taarifa za kisiasa pale Lumumba.

Hata ya Lipumba na Slaa kujiuzulu walizitoa wao
Hilo Gazeti habari zake zote ni UONGO
 
Hivi wale jamaa waliouza Mitambo ya Uhuru ili wajilipe mishahara bado Wapo? Na Je wafanyakazi wa Uhuru wamelipwa mishahara ya mwezi huu????
Elli acha kukumbusha watu machungu. Walipwe na nani? Sasa hivi hizo familia zao ni majanga tuu, ukiondoka hujaacha kitu na jioni unarudi na fungu la dagaa lakini unakuta mke kaandaa kuku na biriani mwororo hakuna kuuliza vimetoka wapi we jipigie tuu maana mama yeyoo kajiongeza ha ha ha! Hapo ndio walipofikia.
Kama mzee aliahidi atatenda na hajatenda nani mwingine ataweza kutenda?
 
Hapo wangeandika Mh..... Ajiandaa kuhama CCM ndio ningeamini.
 
Elli acha kukumbusha watu machungu. Walipwe na nani? Sasa hivi hizo familia zao ni majanga tuu, ukiondoka hujaacha kitu na jioni unarudi na fungu la dagaa lakini unakuta mke kaandaa kuku na biriani mwororo hakuna kuuliza vimetoka wapi we jipigie tuu maana mama yeyoo kajiongeza ha ha ha! Hapo ndio walipofikia.
Kama mzee aliahidi atatenda na hajatenda nani mwingine ataweza kutenda?
Dah mimi wiwezi nitaua mtu aiseeee Wafanyakazi wa Uhuru hawana Uhuru.....
 
Sasa mkuu hao watumishi wa Uhuru wataua wangapi wakati zoezi la kukosa mishahara ni endelevu? (Wenyewe Lumumba wanaita mtambuka)
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom