Maalim Seif ajiandaa kuitosa CUF

Farudume

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
3,946
3,685
7.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.

Chanzo: Gazeti la UHURU.

MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
 
Unajua leo nimeota Maalim Seif anakuwa waziri mkuu wa Zanzibar, Nikajiuliza Zanzibar katiba yao wameibadili lini kuweka cheo cha waziri mkuu?
===
Kutoka kwa hii Habari kumenistua!
 
Kwa jinsi Maalim Seif na CUF wanavyoshibana ni vigumu sana hii habari kuaminika hata kwa maadui wa CUF.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.

SOURCE.Gazeti la UHURU.(RFA-MAGAZETI)

MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Gazeti la uhuru halijawahi sema uongo kamwe.
Kumbuka lile gazeti wana usala..ma wanapeleka taarifa za kisiasa pale Lumumba.

Hata ya Lipumba na Slaa kujiuzulu walizitoa wao
 
Kumbe chanzo ni hicho!!!
 
Gazeti la uhuru halijawahi sema uongo kamwe.
Kumbuka lile gazeti wana usala..ma wanapeleka taarifa za kisiasa pale Lumumba.

Hata ya Lipumba na Slaa kujiuzulu walizitoa wao

Kwa hiyo wana usalama ndiyo walifanikisha Lipumba na Slaa kusaliti vyama vyao kisha wakapeleka habari hizo kwenye " gazeti lao" haya wamekusikia kwa kuwaumbua mchana kweupe peeeeee!!!!!
 
CUF bado ni taasisi imara sana.Maalim Seif ni mwanasiasa mzoefu na anaelewa kwa nini kuna mgogoro wa kutengenezwa.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom