Chanzo: Gazeti la UHURU.
MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gazeti la uhuru halijawahi sema uongo kamwe.Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.
SOURCE.Gazeti la UHURU.(RFA-MAGAZETI)
MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Km lowassa aliweza iacha ccm kwann seif?Unaziamini taarifa za gazeti la Uhuru kuhusu upinzani?
Usitegemee Maalim Seif kuiacha CUF hata siku moja.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake.
SOURCE.Gazeti la UHURU.(RFA-MAGAZETI)
MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini habari hii.
Gazeti la uhuru halijawahi sema uongo kamwe.
Kumbuka lile gazeti wana usala..ma wanapeleka taarifa za kisiasa pale Lumumba.
Hata ya Lipumba na Slaa kujiuzulu walizitoa wao
Kama ndivyo kwanini liongope kuhusu Seif?Hii kauli yako ni ya kutilia shaka sana.
Hata hivyo hao uliowataja lazima hilo gazeti lijue habari zao kwa sababu zilizo wazi kabisa.
Gazeti la uhuru halijawahi sema uongo kamwe.
Kumbuka lile gazeti wana usala..ma wanapeleka taarifa za kisiasa pale Lumumba.
Hata ya Lipumba na Slaa kujiuzulu walizitoa wao
aliweza lowassa na kingunge kuhama ccm....yote yanawezekanaUnaziamini taarifa za gazeti la Uhuru kuhusu upinzani?
Usitegemee Maalim Seif kuiacha CUF hata siku moja.