singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Ni gazeti la mashushushu linaendeshwa na yule karagosi wao Yasin.Hivi kuna watu wananunua hili?
Upunguwani unamsumbua.We jamaa unaharibu sifa ya JF unadhani hapa ni pa mapopoma kujadili magazeti ya udaku?
Stupid coot
Huo ndio ukweli mimi naishi Zanzibar na tuko hapa tarehe 20 March sio mbali CUF watashiriki uchaguzi. Unadhani mfano wawakilishi wa CUF watakubali maana yake miaka 5 inapita huna chako!?!?!?! Sasa leo hii naandika CUF watashiriki uchaguzi na mtaniambia!We jamaa unaharibu sifa ya JF unadhani hapa ni pa mapopoma kujadili magazeti ya udaku?
Stupid coot
kama noma iwe noma!!!Huo ndio ukweli mimi naishi Zanzibar na tuko hapa tarehe 20 March sio mbali CUF watashiriki uchaguzi. Unadhani mfano wawakilishi wa CUF watakubali maana yake miaka 5 inapita huna chako!?!?!?! Sasa leo hii naandika CUF watashiriki uchaguzi na mtaniambia!
Hahaha mkuu,njjaa mbayaHuo ndio ukweli mimi naishi Zanzibar na tuko hapa tarehe 20 March sio mbali CUF watashiriki uchaguzi. Unadhani mfano wawakilishi wa CUF watakubali maana yake miaka 5 inapita huna chako!?!?!?! Sasa leo hii naandika CUF watashiriki uchaguzi na mtaniambia!
Hivi kweli maalim seif ametekwa
kiakil na hawa waroho na wabinafsi wanaojiita ukawa etiasishiriki uchaguzi wa marudio kwa sababu za
kitoto kbs eti nilishinda uchaguz wa awali kwan tume ilimtangaza kuwa
ameshinda??au ndo zile hadithi za vibarazani mh kwa kwel umeingia choo cha kike na utuombe radhi wazanzibar kwa kususia uchaguz kwa mujibu wa sheria
Hahaha mkuu,njjaa mbaya
Lazima CUF watagawanyika kwa hili,maana wanakubali shingo upande.
Na ile issue ya kuandika barua walikuwa wanajua kabisaa namna ya kujitoa ila walikuwa wanazuga.
We nani anaweza kuacha kulipa mshahara wa mamilioni kwa mwezi kisa etu mkuu kasema tususe.
Wapo watakaosusa,ila kwa habari za chini chini wapo ambao watashiriki na wanapiga kampeni za chini chini kwenye familia zao na jamaa zao ili wasistukiwe na Mkuu wao.
Tamko la jecha wamelifurahi kweli wengine,ila kimya kimya,tatizo ni moja tu kwamba,Hamad Rashid nae wa ADC amejipanga kuwamaliza,sasa watakuwa na kazi kweli.Wanachama pia watagawanyika,na ndio maana unaona wakuu wanapiga zigo eee,ila wanachama kimyaaaaa.
Mbona Mwanahalisi na Tanzania Daima ambayo ni magazeti ya kufungia sambusa yanawekwa hapa na hatujasikia kukana kuyajadili hapaWe jamaa unaharibu sifa ya JF unadhani hapa ni pa mapopoma kujadili magazeti ya udaku?
Stupid coot
Ili kufungia sambusa lazima uyanunue hayo mengine Ni taka zisizo nunuliwa hata kwa kufungia vitafunwaMbona Mwanahalisi na Tanzania Daima ambayo ni magazeti ya kufungia sambusa yanawekwa hapa na hatujasikia kukana kuyajadili hapa