Maalim Seif afungua Ofisi Mpya za wabunge wa CUF Magomeni, Dar

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
USAHIHI: Hizi ni Ofisi Mpya za Wabunge wa CUF na sio Makao Makuu Mapya kama iliyotaarifiwa hapo awali.
---------------------

Wanandugu kuna taarifa kuwa Maalim Seif amefungua ofisi mpya za chama hicho zitakazokuwa mbadala wa zile zilizopo Buguruni yaani makao makuu mapya atakayoyatumia yeye na wabunge wa chama hicho kama ofisi kuu.

=======

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad Amezindua "Makao Makuu Mapya" Ya Chama Cha Wananchi C.U.F Yaliyopo Magomeni Mapipa Dar

IMG_7380.JPG


IMG_7381.JPG


IMG_7382.JPG



e2b2f0e85f5fa49b9c782fad0222755a.jpg
 
Back
Top Bottom