Zanzibar 2020 Maalim Seif achukua fomu za kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mgombea wa Urais visiwani humo kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea

Maalim amesindikizwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Zanzibar Juma Duni Haji, Naibu Katibu Mkuu Mazrui Nassor na viongozi wengine

1598778148671.png

1598778182223.png
 
Kwa hapa! Naanza kuuona umhimu wa katiba inayotangaza umri wa mtu kuwa kiongozi mkuu wa Taifa letu na umri ambao mtu akiufikisha hatakiwi kuomba nafasi hiyo

Akili ya vijana huona mbaaaali Sana Ila huwa mara nyingi Hekima Ndiyo huwa ni shida katika umri huo, lakini umri uliopita kwenye kufikiri Kwa haraka na kuchukua hatua ni mzigo makubwa mahala popote pale

Tunahitaji katiba
 
Atatangazwa na nani?
Anachotaka ni nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar! Alisusa 2015 akakosa vyote akajaribu kukimbilia kwa mabeberu yakamwahidi eti yatampa urais akaja kuwadanganya Wapemba eti atarudishiwa urais wake mpaka tumefika 2020!! Mzee amechukua tena Fomu sijui anataka mpaka afie kwenye kugombea urais!!
 
Bora anayewapigania watanzania kuliko baba yako ambaye hana faida kwa watanzania
 
Anachotaka ni nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar! Alisusa 2015 akakosa vyote akajaribu kukimbilia kwa mabeberu yakamwahidi eti yatampa urais akaja kuwadanganya Wapemba eti atarudishiwa urais wake mpaka tumefika 2020!! Mzee amechukua tena Fomu sijui anataka mpaka afie kwenye kugombea urais!!

Unakumbuka chanzo cha serikali ya mseto ilikua ni kitu gani? Mbona hua hamkawii kujitoa ufaham?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom