Maalim Seif acha unafiki katika siasa

Wazanzibarbwasingemwangalia lipumba kwa jicho LA uzanzibar na upemba au utanganyika au tuseme kwa kifupi ubaguzu basi wangemuelewa prof
 
Ndugu zangu kupitia hapa utaona unafiki na uchu wa madaraka wa maalim seif,

katika kipindi maalum anaelezea mwanadiplomasia mahili aliyewezesha kugundulika kwa mbinu chafu za Aboud Jumbe,

BAADA YA MAALIMU SEIFU KUGUNDUA KUWA BWANA JUMBE ANA MPANGO WA KUJITENGA NA BARA NA KUJIUNGA NA WAARABU, bwana seifu hakuchelewa kumfikishia habari Mwalimu Nyerere,
Ambaye hakutaka kuamini direct alichofanya akaamua kuteua usalama wa taifa kadhaa kuchunguza suala ilo wakiongozwa Na bwana Renatus Mikinga,

Wakaandaa mpango kazi bila kumjulisha mtu yeyote ili wajue ukweli uo,

Baada ya kugundua kuwa ni vigumu sana kupata baadhi ya nyaraka ambazo zingewathibitishia madai yale, maana brief case , ya mheshimiwa Jumbe hakuiacha chini, alikuwa anaenda nayo kila sehem,
Ikabidi kikosi kazi kiwe Na kazi ya ziada ya kuchunguza ni muda gan case inabaki chini, wakagundua kuwa case anaiweka mahala salama wakati wa kwenda kusali,kila ikifika saa Saba anaenda msikitini lakin anaacha amefungia case Ile,
Wakaanza uchunguzi ambao ulihusisha mambo manne
1. Muda anaotumia kusali
2. Namba za siri za kufungia case,
3. Ufunguo wa chumba anapofungia case ,ambao hawakufanikiwa kuipata maana alikuwa nao kila sehem,(walichonga master keys)
4. Mashine za karibu za kudurufu,

MUDA WA UCHUNGUZI
Uchunguzi ulitumia wiki Moja, yaan siku saba, maana wangechelewa Mr Jumbe mwezi unaofuata angesafiri kukamilisha mambo,

KUFANIKISHA KWA SHUGHULI

baada ya Jumbe kwenda msikitini, vijana walifanikiwa kutumia funguo waliyochonga mapema ili kufungua kile chumba, pili vijana walifanikiwa kujua namba ya siri ya kufungulia,
Na waligundua kuwa anatumia zaid ya dakika 30 msikitini,

Ilikuwa siku ya ijumaa ambapo alienda msikitini Na vijana kupata nafasi ya kukamilisha mambo,

Baada ya kufungua Na kuingia ndani kwa aboud Jumbe walifungua brief case Na kukutana Na nyaraka za kujiunga Na waarabu Na kujitoa kwenye muungano, wakaenda kwenye ofis Moja yakaribu inayoshughulika Na udurufu wakadurufu( kutoa nakala kwa stencil ) kipindi hicho hakuna photocopy machines, wakatoa kopi wakampelekea mwalimu Nyerere,

Aboud Jumbe hakugundua kuwa mwalimu Nyerere kashapata nyaraka,
Baada ya mwalimu Nyerere kupata nyaraka hizo akazitoa nakala 11, Na akaita kamati kuu ya chama Dodoma ambapo Na aboud Jumbe ilikuwa miongoni mwao, wakakaa kwenye kikao cha dharula, Na hakumwambia mtu yeyote wa ziada isipokuwa makamu wa pili wa rais Na waziri mkuu wa kipindi kile,
NDANI YA KIKAO
Mwalimu Nyerere aliongea Maneno haya
" ndugu nimewaiteni hapa ni kikao cha dharula, hakuna anayejua kuna nini,
Nataka kuwaambia kuwa katika juhudi zetu za kuungana Na kuleta maendeleo kuna wanaotusaliti," alisema akiwa ameficha karatasi zile,
Akaendelea
" ndugu Jumbe unatusaliti"

Aboud Jumbe akajibu, " si kweli mheshimiwa,"

Akasema tena " Jumbe unatusaliti" Jumbe akakana,

Mwalimu Nyerere akaanza kugawa zile karatasi kwa kila mjumbe, ilipomfikia aboud Jumbe alipigwa Na butwaa ,hata brief case yake ikadondoka ndani ya kikao,

Wanajadili Na kufunga kikao,

Baada ya kikao Jumbe akataka kuwahi Zanzibar kutangaza kuwa kajitoa kwa muungano, mwalimu Nyerere akasema Jumbe gari lililokuleta ilo, Ila Sasa utapanda ili,

Huo ndo Ukawa mwisho wa ndoto za Jumbe,

BAADA YA KUPANDA GARI ALIPELEKWA WAPI,?
baada ya kupanda gari alipelekwa kigamboni kizuizini, Na baada ya miaka serikali ikamruhusu kukaa Na familia yake lakini chini ya ulinzi mkali, uku huduma zote akipewa,

Kwa wanaoishi kigamboni, kisiwani kabla hujafika kisiwani kuna sehem inaitwa KISOTA, kuna shule inaitwa aboud Jumbe secondary school, hapo ndo kuna nyumba ambayo alikuwepo aboud Jumbe kabla ya kukutwa Na umauti,
Nyumba ina maandinshi ANSUYA NAVAS,

Kuna habari nyingine zinaweza kukupa uhalisia wa wanasiasa tulio nao hapa Tanzania,
Nyerere UWT yake ilikuwa makoni sana.
Leo Maalim anavuna alichopanda.
 
Wazanzibarbwasingemwangalia lipumba kwa jicho LA uzanzibar na upemba au utanganyika au tuseme kwa kifupi ubaguzu basi wangemuelewa prof
Wacha kuwasingizia watu

Mwaka 2010 unajua profesa alipata kura ngapi kutoka zenji

Huuu utanganyika na uzanzibar ndani ya cuf umeanza lini kama sio mbegu ambayo ameipanda yeye baada ya kuvamia ofisi

Prof alipewa heshima kubwa Zanzibar alionwa hana mfano hakubaguliwa wakati wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua umefungiwa ofisini hapo lumumba umepewa ghahawa na kashata,fanya uhamie buguruni ndio kuna uhakika wa buku 7 kwasasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaliyoandikwa ndio ukweli wenyewe hayo ya viroba unajifurahisha tu ,si siri kuwa Maalim Seif alimsaliti Aboud Jumbe akidhani kwa kumsaliti atapewa uraisi wa Zanzibar na badala yake akapewa Abdu Wakil Ng'ombe.Watoto wa jana kama hamjui siasa tuachieni wahenga.
 
Mmeanza sasa kufukuwa makaburi ili kuficha nia zenu ovu za kukandamiza demokrasia na kuua vyama shindani.
 
Ndugu zangu kupitia hapa utaona unafiki na uchu wa madaraka wa maalim seif,

katika kipindi maalum anaelezea mwanadiplomasia mahili aliyewezesha kugundulika kwa mbinu chafu za Aboud Jumbe,

BAADA YA MAALIMU SEIFU KUGUNDUA KUWA BWANA JUMBE ANA MPANGO WA KUJITENGA NA BARA NA KUJIUNGA NA WAARABU, bwana seifu hakuchelewa kumfikishia habari Mwalimu Nyerere,
Ambaye hakutaka kuamini direct alichofanya akaamua kuteua usalama wa taifa kadhaa kuchunguza suala ilo wakiongozwa Na bwana Renatus Mikinga,

Wakaandaa mpango kazi bila kumjulisha mtu yeyote ili wajue ukweli uo,

Baada ya kugundua kuwa ni vigumu sana kupata baadhi ya nyaraka ambazo zingewathibitishia madai yale, maana brief case , ya mheshimiwa Jumbe hakuiacha chini, alikuwa anaenda nayo kila sehem,
Ikabidi kikosi kazi kiwe Na kazi ya ziada ya kuchunguza ni muda gan case inabaki chini, wakagundua kuwa case anaiweka mahala salama wakati wa kwenda kusali,kila ikifika saa Saba anaenda msikitini lakin anaacha amefungia case Ile,
Wakaanza uchunguzi ambao ulihusisha mambo manne
1. Muda anaotumia kusali
2. Namba za siri za kufungia case,
3. Ufunguo wa chumba anapofungia case ,ambao hawakufanikiwa kuipata maana alikuwa nao kila sehem,(walichonga master keys)
4. Mashine za karibu za kudurufu,

MUDA WA UCHUNGUZI
Uchunguzi ulitumia wiki Moja, yaan siku saba, maana wangechelewa Mr Jumbe mwezi unaofuata angesafiri kukamilisha mambo,

KUFANIKISHA KWA SHUGHULI

baada ya Jumbe kwenda msikitini, vijana walifanikiwa kutumia funguo waliyochonga mapema ili kufungua kile chumba, pili vijana walifanikiwa kujua namba ya siri ya kufungulia,
Na waligundua kuwa anatumia zaid ya dakika 30 msikitini,

Ilikuwa siku ya ijumaa ambapo alienda msikitini Na vijana kupata nafasi ya kukamilisha mambo,

Baada ya kufungua Na kuingia ndani kwa aboud Jumbe walifungua brief case Na kukutana Na nyaraka za kujiunga Na waarabu Na kujitoa kwenye muungano, wakaenda kwenye ofis Moja yakaribu inayoshughulika Na udurufu wakadurufu( kutoa nakala kwa stencil ) kipindi hicho hakuna photocopy machines, wakatoa kopi wakampelekea mwalimu Nyerere,

Aboud Jumbe hakugundua kuwa mwalimu Nyerere kashapata nyaraka,
Baada ya mwalimu Nyerere kupata nyaraka hizo akazitoa nakala 11, Na akaita kamati kuu ya chama Dodoma ambapo Na aboud Jumbe ilikuwa miongoni mwao, wakakaa kwenye kikao cha dharula, Na hakumwambia mtu yeyote wa ziada isipokuwa makamu wa pili wa rais Na waziri mkuu wa kipindi kile,
NDANI YA KIKAO
Mwalimu Nyerere aliongea Maneno haya
" ndugu nimewaiteni hapa ni kikao cha dharula, hakuna anayejua kuna nini,
Nataka kuwaambia kuwa katika juhudi zetu za kuungana Na kuleta maendeleo kuna wanaotusaliti," alisema akiwa ameficha karatasi zile,
Akaendelea
" ndugu Jumbe unatusaliti"

Aboud Jumbe akajibu, " si kweli mheshimiwa,"

Akasema tena " Jumbe unatusaliti" Jumbe akakana,

Mwalimu Nyerere akaanza kugawa zile karatasi kwa kila mjumbe, ilipomfikia aboud Jumbe alipigwa Na butwaa ,hata brief case yake ikadondoka ndani ya kikao,

Wanajadili Na kufunga kikao,

Baada ya kikao Jumbe akataka kuwahi Zanzibar kutangaza kuwa kajitoa kwa muungano, mwalimu Nyerere akasema Jumbe gari lililokuleta ilo, Ila Sasa utapanda ili,

Huo ndo Ukawa mwisho wa ndoto za Jumbe,

BAADA YA KUPANDA GARI ALIPELEKWA WAPI,?
baada ya kupanda gari alipelekwa kigamboni kizuizini, Na baada ya miaka serikali ikamruhusu kukaa Na familia yake lakini chini ya ulinzi mkali, uku huduma zote akipewa,

Kwa wanaoishi kigamboni, kisiwani kabla hujafika kisiwani kuna sehem inaitwa KISOTA, kuna shule inaitwa aboud Jumbe secondary school, hapo ndo kuna nyumba ambayo alikuwepo aboud Jumbe kabla ya kukutwa Na umauti,
Nyumba ina maandinshi ANSUYA NAVAS,

Kuna habari nyingine zinaweza kukupa uhalisia wa wanasiasa tulio nao hapa Tanzania,
Unaanfika kama Renatus Mkinga mwenyewe,na maelezo yako yako ki Renatus Mkinga,kilichotokea tunakijua vyema na propaganda za kishamba eti,kujiunga na waarabu ni hoja ya mtu asiye na maarifa kichwani.Fumbafu thanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma kwa makini sijaona unafika wa maalim Seif; nilichoona ni ushujaa wake wa kunusuru muungano.
 
Back
Top Bottom