Maajabu ya viongozi wanasiasa wa Ulaya

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
Rais wa Austria anunuwa Mkate dukani akatisha mitaani pasipo na ulinzi wowote ule na awahisha kupeleka nyumbani kwa familia yake. Angalia huo mshale mweupe unamuonyesha

RAIS AUSTRIA APELEKA MIKATE NYUMBANI.jpg

je kuna Kiongozi gani wa nchi za kiafrika haswa awe ni Rais afanye kama alivyo huyu Raisi wa Austria? Sio rahisi kabisa.
 
Huyu aliingia madarakani kwa ridhaa ya wananchi! Kwa hiyo hawezi kuwaogopa wananchi bali anawachukulia kama supporters wake!! Ila hawa wa kwetu wanaozamia madarakani kwa jeuri ya ma-jechalist+mabomu+jeshi+WIZI+uchawi+FFU+Migambo+Rushwa+++!!hawawezi kujiamini daima!! Na mimi nawaambia tu ni heri wasithubutu hata siku moja kujaribu kuingia hata Chooni bila ya walinzi 40-50 wenye silaha nzito! Maana wananchi wana Hasira Nao kweli kweli! Na hivi wana njaa!?!!
 
Rais wa Austria anunuwa Mkate dukani akatisha mitaani pasipo na ulinzi wowote ule na awahisha kupeleka nyumbani kwa familia yake. Angalia huo mshale mweupe unamuonyesha

View attachment 461095

je kuna Kiongozi gani wa nchi za kiafrika haswa awe ni Rais afanye kama alivyo huyu Raisi wa Austria? Sio rahisi kabisa.
mbona hapo walinzi wapo na mm hapo nimewaona walinzi Kama wawili. sema ulinzi wake ulikuwa ni wa kawaida.
 
Back
Top Bottom