kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 512
Hivi nchi yii umakini wa viongozi tena hawa wakurugenzi wamashirika ya umma uko wapi. Haya ni majipu lazima yatumbuliwe.
Haiwezekani kalenda ya TPA 2016, yaani Tanzania Port Authourity, iwe na picha ya rais Uhuru Kenyatta, tena itolewa na kugawiwa bila uoga hata kidogo. Au hapo serekali imeajiri mkenya anaependa rais wake.
Serekali naomba ichunguze hiliswala na kulitolea ufafanuzi, naomba kutoa hoja. Its shame to the authority wa Bandari.