Maajabu ya Tarakimu

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Sasa utakuwa umeshajua
kwa nini nambari ziko hivyo
Info hii umeipata kwa hisani ya Boflo


attachment.php
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    32.8 KB · Views: 1,164
Hii nimeipenda kama sio kweli bs hongera kwa ubunifu wa hali ya juu.
 
msilalamike kakosea... ameshasema ni kwa hisani yake, aidha nzuri au mbaya...
 
Paloma, kwani we hujui kuremba mwandiko? Ndio maana wenye mwandiko mzuri uliorembwa wanafaulu kwa sababu mwandiko uliorembwa uko feki, una uwongo mwingi ndani yake.
Sitaki umuulize Boflo maswali mengi.


kumbe basi na mie niitakuwa niifaulu kwa kudangannya!!! maana nilikuw anaremba muandiko balaa! ila kufika chuo sasa..........mhhh
 
all in all Boflo kazi nzuri sana banaa.....big up!!!
 
Last edited by a moderator:
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom