dlnobby
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 2,514
- 3,347
Wabeja wanajukwaa.
Bila kuwapotezea mda nijikite kwenye mada
Nmesoma kwenye magazeti na mitandao ya kijamii hasa hapa JF yetu pendwa nmeona kwanamna gani kijana mbowe alivyo na nia thabiti ya kwenda mahakamani kudai fidia ya kuchafuliwa jina na mh makonda.
Nikweli kachafuliwa jina tena sana kwakuwa tuhuma zinazomkabili hazijathibitika wala hakukuwa na ushahidi wa kumfanya mh makonda kumtuhumu kwa kujihusisha kwake na madawa ya kulevya lakin napata shida mbowe huyu huyu wa kudai hiyo fidia ya kuchafuliwa jina hadi kwenda mahakaman na kutafuta mawakili kusimamia alipwe fidia kwakuwa kachafuliwa jina....je mbowe huyu kasahau mwaka 2015 juzi juzi tu hapo.
Inamana huyu kamanda anaugonjwa wa kusahau mambo aliyotenda mwaka juzi hadi kufikia kuwaaminisha makamanda wengine kuwa kachafuliwa jina.?
Mbowe umesahau chama chako kilitaja majina 11 ya mafisadi akiwepo mzee uliyemuuzia chadema mwaka huo huo 2015....mbowe inamaan wew umeumia sana kuchafuliwa jina kuliko wale uliowaandika kwenye web site ya chadema kama mafisadi papa...au wew mwenzetu si binadamu kama wale uliowachafua hadi leo hii hawajasafishika kwa tuhuma zako za maji taka.
Mbowe wale uliowachafua wakisema wadai fidia je utaweza kuwalipa angali wew mwenyew unashindwa hata kulipa kodi ya pango.
Kijana mbowe wewe inakuuma sana kuchafuka? Mbona vijana wako bavicha wanachafua watu na hawajawahi fika mahakaman kudai fidia....
Mbowe jitafakari kama upo sahihi ndipo udai fidia zaidi unaonekan mnafiki kwa watu wenye akili lakin villaza watakuja hapa kukutetea kuwa upo sahihi.
Naomba nmalizie kwa kusema [HASHTAG]#haya[/HASHTAG] maajabu yanapatikana tanzania pekee#.
Wenu kisukikali
Kwasasa nipo lumumba dar es salaam