theHAVARD_product
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 289
- 191
Kwanza nasikitika kwa Team yetu pendwa ya Taifa Stars kukatishwa Rasmi Matumaini ya kwenda WORLD CUP mwaka 2014 na timu ya IVORY COAST. Ni hudhuni kweli.
Katika kipindi hichi ambacho Watanzania tulikuwa na MORALE isiyo na Mfano. It was a Great Moment.
Kwanza nianze kusema,TANZANIA tunakosa mbinu,we have no plans. Kwanini?? Ni ukweli uliodhahiri,tumekuwa Washabiki tusiokuwa na mipango. Na hili nalaumu sana TFF na serikali. Ila hasa TFF ambao inabidi wapange mbinu za Kuiforward kwa serikali Labda iwasaidie.
Binafsi sijawahi kuona Nchi inashiriki WORLD CUP kwa wachezaji wa KUUNGAUNGA wanaocheza nchini Tu. Thats a pathetic dream,Realy pathetic.
Huwezi kutegemea wachezaji wanaocheza SIMBA,YANGA ,AZAM na TP-MAZEMBE kuQualify WORLD CUP!!! Labda turudi nyuma kidogo,Watu wengi walishangaa sana KUFUZU kwa SENEGAL WORLD CUP 2002. But it was not a just IBAHAT,Waliwekeza na walikuwa na Wachezaji professionals. Akina Diouf, Diop, H&S camara,O.Daf nk walikuwa professionals wanaocheza team nzuri tu ulaya.
Tena Togo na Angola, Ivory coast walipofuzu 2006 walikuwa na Proffesionals!!
mfano:Togo(Adebayor,M.kader, Kossi Agassa, Mamam Cherif Touré nk
Ivory Coast(Drogba, Zakora,Toure, Aruna Dindane , Yaya Touré, nk
Angola(André Macanga, Paulo Figueiredo, Marco Airosa, Kali nk
Ukweli ni kuwa Sijawahi kuona timu Afrika inafuzu WORLD CUP kwa kutumia Wachezaji wa Ndani tu,na professionals wa kubahatisha. SIJAWAHI!
Mipira ni mipango wenzetu walifanikiwa kuwekeza vijana wao Ulaya kwanini na sisi tushindwe?!
Togo(France), Ivory Coast(France), Angola(Portugal).
Ajabu TFF wameshindwa hata kulea kituo cha Tanzania Soccer Academy! Hawa watu wanawaza kula tu.
Ukiwa na Mipango,ukiikosa WORLD CUP unaweza hata kudondokea AFCON.
Labda niwasaidie TFF mipango.
Hakuna mipango mingi zaidi ya kuwa na Proffesionals. Wachezaji wa uwakika na kujiamini pia. Kuwekeza wachezaji nje ya nchi inawezekana,na nchi nyingi zinafanya.
TFF iwekeze wachezaji nje ambao itakuwa inawagharamia kwa mikataba maalumu, kwa kushare gharama na Timu husika au kituo husika.
Unaweza hata kuwekeza wachezaji zaidi ISHIRINI ulaya . TFF ikitoa Nia na kusadiwa na Serikali pia.
Lets say,Unaenda Sunderland(Marafiki wa simba) unawekeza wanne.
Unaenda Germany unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.
Unaenda France unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.
Unaenda Russia unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.
Unaenda Italy unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.
Na hili nimeliona na linafanyika sana kwa nchi zenye kiu kabisa ya maendeleo.
Sidhani kama itakua gharama kubwa sana,na sidhani kama nchi inashindwa kwa kupitia Friendship policies ambazo tunazo na nchi nyingi.
Kiukweli hatuwezi kusonga kwa namna hii, inabidi tujitoe kweli.
Kwa namna hii hatutafika daima na kama tutafika tutachukua miaka NENDA RUDI.
wakuu NAWASILISHA.