Maajabu ya Supu Ya Pweza

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Wadau poleni!Nisiwe muongeaji sana nataka kuuliza hivi hii supu ya pweza mbona imekuja kuwa maarufu sana hapa mjini mpaka vijana wanaigombania?Kwan kuna kitu gan hasa kwenye supu hii?Je inavirubisho gan kwa afya ya binadamu?Naomba mnijuze maajabu ya supu ya Pweza kwa aliyetumia ili nami niifurahie...
Nawasilixha.
 
me ni mtumiaji mzuri wa hii kitu nkiwa na wyf wakati wa mechi uwa nina nguvu kama kifaru usiku kucha mgoma bado inadai
 
Mradi wanaokunywa hawafi ijaribu na wewe uwe na majibu mazuri ya maswali yako!
 
Wadau poleni!Nisiwe muongeaji sana nataka kuuliza hivi hii supu ya pweza mbona imekuja kuwa maarufu sana hapa mjini mpaka vijana wanaigombania?Kwan kuna kitu gan hasa kwenye supu hii?Je inavirubisho gan kwa afya ya binadamu?Naomba mnijuze maajabu ya supu ya Pweza kwa aliyetumia ili nami niifurahie...
Nawasilixha.

Ni supu nzuri sana na ina manufaa makubwa sana kiafya
 
Nenda udsm pale mabibo hostel uone vivulana vinavyoichangamkia, baada ya hapo zunguka eneo lote la parking ya humo ndani ndo utajua umuhim wake....
 
Jaribu hii ya moto imetoka jikoni sasa hivi, utakuja kuniambia
 
Attachments

  • supu+ya+pweza.jpg
    supu+ya+pweza.jpg
    11.2 KB · Views: 529
yani nimekuwa mlevi wa supu ya pweza, hawa wakina AMMY ni nouma. ila hiyo kitu ni nzuri kiafya inasaidia joto kupanda hasa la kichwa cha mtoto mwenye jicho moja. nimemuambukiza hata bosi wangu kuna siku tulinunua chupa nzima.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom