mukandarasi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 932
- 275
Nipo hapa Mortuary hospitali ya ya Mkoa jiji la Mwanza.Imenishangaza kuambiwa maji hakuna ya kuoshea miili ya marehemu!Imetulazimu ndugu tukatafute maji ili ndugu yetu apate heshima yake stahili!Ukizingatia malipo yote halali tumelipa.Tumewauliza watumishi waliopo,wanadai wamekatiwa maji!! RAS hii ni haki kwa wanamwanza!