Maajabu ya pesa: Tangu Lowassa ahamie CHADEMA amekuwa Mungu kabisa

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,364
2,000
Yaani Tangu Mtu Huyu Ahamie Chadema Kumekuwa Na Kundi La Watu Linamwabudu Kama mungu.

Zungumza Baya Lolote Mbele Ya Gwajima Au Muumini Wake Utaona Kitakachokukuta

Zungumza Lolote Baya Mbele Ya Kakobe Na Waumini Wake Utajionea

Zungumza Lolote Baya La Lowassa Mbele Ya Askofu Shoo Na Wana KKKT Utaona

Zungumza Lolote Baya Mbele Ya Mbowe Na Chadema ,kisipokukuta Kilichompapata Chacha Wangwe Anza Ibada

Kwa Dunia Ilipofikia Hata Kama Mbowe Au Lowassa Amma Kakobe, Mzee Wa Upako Au Gwajima Wataamua Kuua Mtu Hadharani - Wanapaswa Kuachwa Na Vyombo Vya Dola Kwasababu Wametengeneza Kundi La Wafuasi Loyal Wanaowatetea Kwa Lolote, Na Ukiwakamata Itaonekana Ni Kwa Sababu Za Kisiasa.

Kuna Watu Hawajitumikii Wala Kujimiliki Wao Wenyewe, Bali Humilikiwa Na Watu Fulani Wenye Uwezo Wa Kukuamrisha Kufanya Lolote Ukafanya - Kushinda Mahakamani Kutwa Nzima,kuandamana,kudeki Lami Au Hata Kufa - Ukifa Wanakutumia Kama Agenda Na Picha Yako Inakuwa Mtaji Wao Kisiasa Wa Kuombea Misaada Kwa Wazungu.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,905

Acha uchochezi, csn you prove your allegations! Nyie ndio mnafanya jukwaa watu wasumbuliwe
 
mkonongo1938

JF-Expert Member
Jan 22, 2016
1,907
2,000
Ina maana faru John ni muhimu kuliko watu saba waliotupwa mto ruvu? Max kosa lake kubwa hasa ni nini? Mbunge wa Arusha nzima kweli anaweza kukosa dhamana? Hivi Ben saa nane yuko wapi? Nazidi kuumia kichwa tu muhudumu naomba castle ya baridi labda akili yangu itakaa sawa!!! Tanzania ya visasi au ya viwanda?
 
m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
961
1,000
Asante sana mleta mada kwa kujitambua. CDM hawajitambui bdo ila naamini karibu wataanza kujitambua. Mwenzao kavuta punga la kufa mtu ndo maana kauza chama sasa mwendo mdundo. Kamwachia mamvi
 
Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,122
2,000
Bring back Maxence Mello, Ben Saanane, and Tanganyika you chama cha Majangili.
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Yaani Tangu Mtu Huyu Ahamie Chadema Kumekuwa Na Kundi La Watu Linamwabudu Kama mungu.

Zungumza Baya Lolote Mbele Ya Gwajima Au Muumini Wake Utaona Kitakachokukuta

Zungumza Lolote Baya Mbele Ya Kakobe Na Waumini Wake Utajionea

Zungumza Lolote Baya La Lowassa Mbele Ya Askofu Shoo Na Wana KKKT Utaona

Zungumza Lolote Baya Mbele Ya Mbowe Na Chadema ,kisipokukuta Kilichompapata Chacha Wangwe Anza Ibada

Kwa Dunia Ilipofikia Hata Kama Mbowe Au Lowassa Amma Kakobe, Mzee Wa Upako Au Gwajima Wataamua Kuua Mtu Hadharani - Wanapaswa Kuachwa Na Vyombo Vya Dola Kwasababu Wametengeneza Kundi La Wafuasi Loyal Wanaowatetea Kwa Lolote, Na Ukiwakamata Itaonekana Ni Kwa Sababu Za Kisiasa.

Kuna Watu Hawajitumikii Wala Kujimiliki Wao Wenyewe, Bali Humilikiwa Na Watu Fulani Wenye Uwezo Wa Kukuamrisha Kufanya Lolote Ukafanya - Kushinda Mahakamani Kutwa Nzima,kuandamana,kudeki Lami Au Hata Kufa - Ukifa Wanakutumia Kama Agenda Na Picha Yako Inakuwa Mtaji Wao Kisiasa Wa Kuombea Misaada Kwa Wazungu.
Aliyejiita mungu ni Mkuu wa mkoa wa Darisalama,usisingizie wengine
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
23,032
2,000
Asante sana mleta mada kwa kujitambua. CDM hawajitambui bdo ila naamini karibu wataanza kujitambua. Mwenzao kavuta punga la kufa mtu ndo maana kauza chama sasa mwendo mdundo. Kamwachia mamvi
Akiitwa magufuli mungu MTU.ccm mnapanic.ila kwa lowasa sawa tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom