Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,215
- 157,392
Nia ya Uzi huu sio kuwasihi mkatambike wala mkaabudu miungu.
Nia ya Uzi huu ni kutaka kuona ni jinsi gani mizimu imefunga Baraka zetu na hatuendelei kwasabu ya mizimu.
Isaya 50:11
Huwezi kuongelea Tanzania bila kuongelea Mwenge wa Uhuru. Huwezi kuuongelea Mwenge wa Uhuru bila kumuongelea Forojo Ganze, Sheikh Yahya HUSSEIN na wale magwiji wengine wa uchawi.
Mwenge ni Ibada kamili ya moto, kuzienzi Roho za mababu na mungu moto. Mbio za zinapolala hamna jema linalotokea.
Watoto watalawitiwa na walevi, wengine watabakwa, wengine watafanya ngono holela, watu watapata ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa. Vibaka watapora sana watu, watu watalewa....
Hata kama kuna kitu kinazinduliwa, uzinduzi wake huambatana na mambo hayo.... na kitu hicho/ mradi huo utatembea na maroho ya aina hiyo.
BIBI WA MSIMBATI
Tambiko lilifanyika, gesi ikapatikana, tunaifaidi kidogo sana tofauti na wenzetu wanavyo ifaidi. Tpdc watuambie wamepata faida ya kiasi gani kwa uwepo wa gesi nchini.

Kweli. Kijijini kwetu wamevunja makaburi kujenga shule, mwaka wa 7 huu, shule haiishi!
View attachment 462075
Kama miradi ya kawaida kama madaraja barabara majengo viwanda nk vinafanyiwa matambiko sembuse mji mkuu?
Kuna kitu hakikutiliwa maanani kwenye mradi mzima wa kuhamia Dodoma..kitu hiki kikiendelea kudharauliwa kitaendelea kupukutisha watendaji wengi pale penye kitovu na kuhamia Dodoma kutabaki kuwa story za kufikirika View attachment 462076