Maajabu ya ndege Santiago airline 513

Habari ya kusisimua sana hii, je hiyo ndege ipo mpaka waleo? Hayo maskeleton yapo mpaka waleo?
 
Wazungu walishamuona mtu mweusi jitu la hovyo tu

Ili ujue ni hovyo amekomalia Google na wikipedia utafikiri huko data zinalishwa na Mungu
 
Kwani Google ni wapi ...si kompyuta tu ambayo inategemea uwepo wa mtu
Uko sahihi, inategemea uwepo wa mtu.
- Je unaelewa maana ya GIGO ? ,
- Je unatambua hasara waipatayao vijana wa leo kutumia google bila ya kujiongeza?
- Je unafahamu simulizi ya ndege aina ya mbayuwayu?

Iwapo umetoa jibu la hapana kwenye moja ya hayo maswali matatu, basi inatakiwa ujitafakari.
 
Hebu tueleweshe mkuu iyo ndo nini
 
Hiyo story ni ya kitambo na nimeisoma, shida inakuja kwenye marubani hawaelezei kuwa iliongozwa na skeleton au mtu mzima

Sasa mimi wameniacha njiapanda ila nachosubiri Mungu akinipa maisha marefu ni hili la Malaysian airline maana nalo ni myth yawezekana zinatekwa then baada ya mda flani wanaziachia maana hii ya Malaysia inasemekana ilipopoteza mawasiliano ilikua karibu na USA military base ufukweni mwa bahari.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom