Maajabu ya ndege Santiago airline 513

BoManganese

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
979
2,669
Mnamo mwaka 1954 tar 4 sept ndege iitwayo Santiago airline 513 ili ruka kutokea ujerumani ikiwa inaenda katika uwanja wa ndege uitwao Porto alagre uliopo nchini Brazil cha ajabu ndege hiyo kabla ya kufika katika kiwanja hicho inasemekana ili potelea katika bahari ya atlantiki hivyo ndege hiyo haikuonekana lakini baadae mnamo mwaka 1989 tar 12 Oct ikiwa ni miaka 35 imepita ndege hiyo ili onekana ikitua katika uwanja ule ule kama ilivyo pangiwa kutua mwanzoni katika uwanja wa Porto alagre hapo nchini Brazil cha ajabu zaidi ilitua ikiwa na abiria 88 wote katika siti zao pamoja na wahudumu 4 na marubani lakini wakiwa wame baki mafuvu tu kwa maana walisha kufa tangu kitambo cha kustaajabisha iliwezekanaje ndege Hiyo kutua katika uwanja huo ikiwa marubani wake walikuwa ni mafuvu..
- Je suala hili lina weza kuhusishwa na mambo ya time travel??
Naombeni mawazo yenu wakuu
>>>
therealomisa_facts_2___ByRuWWGgp9E___.jpeg
 
>>>View attachment 1118344
Mshana jr. Aje atusaidie hii kitu
 
Back
Top Bottom