Maajabu ya nafasi za kazi UDOM... Kuna nini hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu ya nafasi za kazi UDOM... Kuna nini hapa?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by zubedayo_mchuzi, Oct 13, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  V A C A N C I E S THE UNIVERSITY OF DODOMA (DEADLINE: 10th August, 2011)


  1. POSITION: ACCOUNTANT (5 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------45


  2 Assistant Accountant (8 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------1305


  3 Accounts Assistant (10 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------603  4 Internal Auditors (3 Positions)

  waliotuma Maombi ni ------------117

  5. Human Resources/Administrative Officer (12 Positions)

  waliotuma Maombi ni ------------2226


  6. Records Management Assistant/Clerical Officers (7 Positions)

  waliotuma Maombi ni ------------614

  7. Receptionists (7 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------198


  8. Personal Secretaries (5 positions)

  waliotuma Maombi ni ------------310


  9. Drivers (15 positions)

  waliotuma Maombi ni ------------145  10 Office Attendants (12 Positions)

  waliotuma Maombi ni ------------558


  11. Public Relations Officer (1 Position)

  Waliotuma Maombi ni ------------111

  12. Assistant Medical Officers (6 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------3


  13 Clinical Officers (10 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------77


  14. Graduate Nurse (2 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------17


  16 Health Attendants (12 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------57

  17 Health Lab Assistants (3 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------29

  18 Health Laboratory Technologist (2 Positions)

  waliotuma Maombi ni ------------20

  19 Health Officers (3 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------sijaona

  20 Health Records Technician (2 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------15


  21 Medical Officers (2 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------sijaona

  22 Enrolled Nurse/Midwife (10 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------17

  23 Pharmaceutical Technician (2 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------10


  24 Nursing Officer (3 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------31

  25 Deputy Estates Managers (3 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------19

  26 Estates Officers (4 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------147

  27 Artisans (10 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------5

  28 Auxiliary Police (10 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------90

  29. Planning Officers (2 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------


  30. Systems / Network Administrator (4 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------378  31 Games Tutor (1 Position)
  waliotuma Maombi ni ------------20

  32 Janitors (18 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------443

  33 Wardens (10 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------1424


  34 Instructors (5 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------136

  35 Laboratory Technicians (4 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------50  36 Laboratory Engineer/Scientist (4 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------101

  37 Supplies/ Procurement and Logistics Officers (3 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------167

  38 Assistant Supplies/Procurement and Logistics Officer (2 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------307


  39 Supplies/Procurement and Logistics Assistants (6 Positions
  waliotuma Maombi ni ------------355


  40 Library Assistants (30 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------292  41 Library Officers (12 Positions)
  waliotuma Maombi ni ------------SIJAONA

  msikate tamaa jamani ndo TZ...
   
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  yani unataka kusema namba ya waloomba kazi ni nyingi saaana au?
   
 3. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tatizo la ukosefu wa ajira linazidi kuwa kubwa hapa Tanzania. Serikali yapaswa kujipanga vyema ili kutengeneza nafasi za ajira kwa wahitimu wa vyuo_Otherwise linatengenezwa bomu la hatari lenye mlipuko wa kutisha.
   
 4. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo kama we una godfather ni kuairisha 2.we position ya watu 17 watu waliotuma zaidi ya elfu unategemea nini?
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  We unaonaje hapooooooo......
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  baada ya mwaka mmoja hiyo idadi ya watu itakuwa mara 3
   
 7. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Halaf hao wote wameitwa kwenye usaili. Jamani?
   
 8. m

  mihiwe Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  halafu waziri wa kazi anasema wasio na ajira ni asilimia 16 jamani watazania tujifunze kuwa wakweli tutakuwa huru.
   
 9. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hizo kazi zimetangazwa sana au?
   
 10. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwa hali hii baada ya miaka 4 hali ya ajira itakuwa mbaya sana.
   
 11. m

  mbweta JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yan mie nimeitwa kweny pipo 1305 ila siendi wasiniletee ungese,bora hata wangepunguza punguza wenyewe kwanza.
   
 12. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Ukicheki yale mashule ambayo hayana mtelemko kwenye utabibu matumaini kibao. Huku kwa kila mtu ndio balaa. Vijana wa kisasa someni alama za nyakati na muanze kupenda Mathematics, njia za mkato hakuna tena
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  sijui hujaelewa nini hapo???????????
   
 14. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,338
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  UDOM imefanikisha kutupa jambajamba.Kama unatoka mbali bora i save hiyo nauli.MAANA MIKAZI YA KIBONGO MINGI IMETAWALIWA NA RUSHWA MTAKUTA WATU WAMECHAGULIWA TAYARI WANATAKA KUINGIZA GHARAMA WATZ WA WATU AMBAO WANATAFUTA AJIRA.inaumaa ujue.
   
 15. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kaka umemwaga data tu ujatoa analysis na kuleta info yoyote ya maana! Heb kwa hizo data leta tatizo tujue ni nn?I mean elezea ulikua unataka kutujulisha nn na izo namba zako
   
 16. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Usipende kuambiwa kila ki2,
   
 17. j

  jo_amsdp New Member

  #17
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duu tunahitaji Serikali makini kusababisha nafasi za KAZI
   
 18. Sunman

  Sunman Member

  #18
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msiogope kwani kuna watu walio kweny ajira wameenda kuomb ajira unafikiri nn?
   
 19. only83

  only83 JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mimi nina rafiki yangu alituma maombi hapo UDOM kwenye nafasi ya Administrative officer,nilipoona haya majina nikagundua kuwa hizi ni siasa,nimemwambia asije tu maana anapoteza muda wake,hapo kuna udini na watu wanapeana kazi kwa ground za kidini sana...hiki kitu kinaniuma sana basi tu,watu watapoteza pesa zao kwa kitu ambacho hawatafanikiwa kabisa...kumbuka hapo kila mkubwa ana watu wake kama watano hivi...sasa wewe mkulima kama mimi utapigana kweli?
   
 20. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,567
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  dogo nenda wapo wengi watakao jipunguza kamna wewe, usishangae siku ya siku mkajikuta mpo 100/50.
   
Loading...