Maajabu ya mwezi huu wa desemba,2012

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wana jf kwa wale wenye kalenda ukiangalia mwezi huu wa desemba 2012 utaona kuwa una jumamosi 5 na jumapili 5 tofauti na tulivyozoea ambapo huwa ni jumamosi 4 na jumapili 4 kwa kila mwezi. Kwa kawaida hili hutokea kila baada ya miaka 824.
 
Asante, mzee wa takukuru, inaonekana huwa amini sana takukuru?
 
Wana jf kwa wale wenye kalenda ukiangalia mwezi huu wa desemba 2012 utaona kuwa una jumamosi 5 na jumapili 5 tofauti na tulivyozoea ambapo huwa ni jumamosi 4 na jumapili 4 kwa kila mwezi. Kwa kawaida hili hutokea kila baada ya miaka 824.

Iwapo ni kawaida hii kutokea @ baada ya 824 yrs, kipi cha ajabu?
 
Asikudanganye mtu hakuna mwenye siri juu ya mwisho wa dunia hizo ni habari za kizush zinazowaingizia baadhi ya watu :glasses-nerdy:kipato
 
maajabu ni kwamba hebu chunguza kwenye kalenda vizuri imekuwaje jumamosi na jumapili mwezi huu ziongezeke, ni fomula gani iliyofanya ziongezeke mwezi huu tu.
 
Full wonders. so mwaka mwingine kama huu utakuwa 2836 naona km ndoto vile
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kama fix vile ona mwezi september, na mwezi april, 2012 hakuna maajabu yoyote mwana
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kama fix vile ona mwezi september, na mwezi april, 2012 hakuna maajabu yoyote mwana
 
machi zipo tano juni pia september na hii december so sijakuelewa
 
hizi sound bwana november ina alhamisi 5 na ijumaa 5,october ina jumatatu 5 jumanne 5,na jumatano 5.september inafanana na december kwa kuwa na jumamosi 5 na jumapili 5....Peleka uongo wako kule,kawadanganye watoto wenzako fb
 
Kamuongopee mwanao kwanza kama unae ndio uje kwa wakubwa wenzio JF ala!!!!angalia mwezi septemba"
 
Back
Top Bottom