Wana jf kwa wale wenye kalenda ukiangalia mwezi huu wa desemba 2012 utaona kuwa una jumamosi 5 na jumapili 5 tofauti na tulivyozoea ambapo huwa ni jumamosi 4 na jumapili 4 kwa kila mwezi. Kwa kawaida hili hutokea kila baada ya miaka 824.
Huu mwaka si wamesema ndo mwisho watdunia au!??
Kamuongopee mwanao kwanza kama unae ndio uje kwa wakubwa wenzio JF ala!!!!angalia mwezi septemba"