Maajabu ya mwaka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu ya mwaka!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mphamvu, May 25, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ni saa mbili na dakika kadhaa, natoka Campus ya Mlimani kuelekea hostel ya Mabibo. Cha kushangaza ni kuwa Barabara ya Sam Nujoma kuelekea Ubungo hakuna foleni kabisa, haijafika hata darajani. Hii si kawaida kwani siku nyingine foleni huwa inafika makutano ya barabara ya Sinza hasa muda kama huu siku kama ya leo. Ni nini hakijaenda vizuri mpaka hakuna foleni?
   
 2. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sasa unamaanisha tatizo la foleni limekwisha au?
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  wabongo bana! kifupi unalalamika kwanini hakuna foleni..?!!! oh god! tupewe nini sis inaadamu turidhike...
   
 4. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  hayo ndo maajabu ya mwaka? tehtehee, mi nadhan thred yako ndo maajab ya mwaka
   
 5. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Just sarcaism bro, kama kweli mambo yakienda vema kila mtu angefurahi...
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Maajabu ya mwaka inamaanisha kuwa kitu kutokea mara moja mwakally, katika siku 365 zilizopita ushaona kitu kama hiki barabara ile?
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Nope! Nadhani ni kismati tu kwa leo, ceshoh na ceshocutwer mwendo ule ule!
   
 10. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  subiri uone na kesho....
   
Loading...