Maajabu ya Mungu: Mtoto alelewa na Nyani miaka 5!

Hawa waandishi wengine wanatazama makatuni ya tarzan na kuunga unga habari,sio mbaya ni katika kutufurahisha,ila mtoto wa miaka mitani kwa kimo ni sawa na nyani mwenyewe. au walikusudia miezi mitano.

Tena suala la umri limechanganywa as well...ebu soma vizuri maandishi chini ya hiyo picha...yanasema ''hadi alipofika umri wa miaka SITA'' ndani ya habari...miaka mitano????????? Confused!
 
...in this world you can deny everything, or accept everything. Both saves you from thinking!
 
Inawezekana ni kweli aliishi na hayo manyani mimi na wewe hatiwezi jua kwani hata huko kijijini hao wanaofanya reseach mara nyingi hawafiki seshmu hizo.Acha wafu wazike wafu wao.
 
Mungu atakalo hua .. hata utumpe chooni kama siku yake bado ni bado tu ... Mwenyezi Mungu amjaalie makuzi mema yenye afya ... sijui hao walomzaa wanajionaje mbele ya Mwenyezi Mungu maana kawaumbua si padogo.
 
The Wolf Boy from India...mnamjua huyu naye?


2008-11-20-genc_kurt2.jpg


2008-11-20-pruthmain_487811a.jpg



2008-11-20-wolfboy2.jpg


Tafadhali mwaga story za huyu jamaa from India,huyu wa Tz fiction kibao.
 
Jamani kama sikosei kuna mtu humu anaitwa Ushirombo tunaweza kumuuliza habari zaidi za huko kwao na akatuma majibu mulua na muafaka kwa kuwasiliana na ndugu zake kule.
 
Ni vigumu sana kuamini hili jambo. Ila hii habari kama nilivyoisoma kwenye mojawapo ya magazeti ina mlolongo mrefu sana wa mapokeo (watu wanaoisumulia) kuanzia askari wanyama pori hadi wale mama ntilie, hivyo kupoteza kabisa uhalisia/ukweli.
 
Wamenifurahisha sana pale waliposema wanamfunga minyororo eti asiweze kutoroka na kuparamia miti itakuwa mbinde kumkamata tena.
 
Jamani kama sikosei kuna mtu humu anaitwa Ushirombo tunaweza kumuuliza habari zaidi za huko kwao na akatuma majibu mulua na muafaka kwa kuwasiliana na ndugu zake kule.

Please Ushirombo .....kama unajua lolote hapa, your comment please!
 
Tafadhali mwaga story za huyu jamaa from India,huyu wa Tz fiction kibao.

Shika basi mwenzangu usione kama udaku.

From New York Post:


Pruthviraj Patil, 11, suffers from a rare genetic disorder known as hypertrichosis - or "werewolf syndrome" - which causes a thick coat of hair to grow over every inch of his body except his palms and feet.

When he was born in a village near Mumbai, his mother was told she had given birth to a god, but in school, there have been more bullies than believers.

An episode of the TLC series "My Shocking Story" chronicled the efforts of a group of Columbia scientists, including dermatologist Angela Christiano, to develop a cure for Pruthviraj's disorder, which is estimated to afflict fewer than 50 people on the planet.

Pruthviraj's family has tried every imaginable treatment, from homeopathy to laser surgery to a trip to the local barber, but the hair always grows back.

Link kwa maelezo zaidi... HOPE FOR WOLF BOY - New York Post
 
Nimesikia kisa chake leo CLOUDS FM kipindi cha Njiapanda! Kwakweli Mungu ni mkubwa. Nimebaki na maswali mia kidogo yaliyokosa majibu! Duh
 
habari ni kweli hata njia ya panda ya clouds fm mbona waliitoa , dogo anaongea kwa wasi wasi sana anaitwa baraka
 
Nilimskia jana kwenye radio clouds. ila ninadhani mtoto huyu bado anahitaji msaada wa wataalam wa afya ya akili ili kumweka sawa kwani hata shule performance yake siyo nzuri Ila alini-impress sana kwani yuko very ambitious which a very good thing
 
majangaa hayo ya huyo wa india, hujafa hujaumbika.huyo alokua analelewa na nyani anaweza kuzungumza?maana nimewah kushuhudia bubu mmoja akimlea mwanae nar akawa bubu.sasa huyo alokua analelewa na nyani kwa miaka 5 kweli si atakua anatumia body language tu? hakuna hata alomuona jaman anisaidie majibu?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom