Maajabu ya mtoto aliyeteswa na wazazi wake mbeya na kufungiwa ndani miaka 2....!!

Niwapongeze wote mlioshiriki kuleta habari ya mtoto Joshua, inasikitisha mno na kutisha pia Hapa runashuhudia jinsi binadamu alivyo mnyama hasa kwa mtoto asiye wale..!
 
Nimesikitika sana kwa haya huyu mtoto aliyofanyiwa,nimetamani sana kumchukua huyu mtoto aishi na watoto wenzake nyumbani kwangu maisha yaliyo bora na apate elimu iliyo bora lakini kwa vile serikali imeshaingilia kati hili suala I hope mambo yake yatakua mazuri kwake.
 
Back
Top Bottom