Maajabu ya Magufuli: Uchumi wa Tanzania wakua zaidi ya nchi zingine za Afrika Mashariki

Blah, Blah sitaki kusikia. Njoo na figures hapo kuwa uchumi wa nchi hii umekua kwa asilimia kadhaa...
By the way growth rate is a deceiving figure...
Asume GDP ya marekani ni TSH 140,000 na ikakua kwa 1% = 1400
Na assume uchumi (GPD) ya TZ ni TSH 10,000 na ukakua kwa 8% = 800... Kwa hiyo utaona uchumi wa Marekani umekuwa kwa percent chache lakini ongezeko ni karibu mara mbili ya Tanzania...
 
Uchumi naona unakua kwa kasi ya ajabu ndo maana hata bei ya unga imeshuka ghafla kutoka 1200 hadi 2600.
Hongera raisi
Sembe ikipanda bei maana yake ni kuwa mkulima anapata fedha nyingi zaidi kutokana na jasho lake la kulima sembe. Mlizoea kuwapunja na kuwanyonya wakulima kwa kununua mazao yao kwa bei ya peanut. Acha wakulima wetu wauze sembe yao hata kwa Tsh 4,000 kwa kilo, korosho saa hizi angalao imefika 3,500 sh kwa kilo na mchele angalao 2,500 sh kwa kilo. Hii ndiyo kuwajaza wallet wakulima ambao idadi yao ni asilimia zaidi ya 80% ya watanzania. Ndiyo kukua kwa uchumi ambao hupimwa kwa per capital income. Huko nyuma wallet zilizokuwa zinajaa zilikuwa ni za wajanja wajanja tu. Sasa zinajaa wallet za wavuja jasho kama wakulima. Bei ya vyakula iendelee kupanda. Kama vipi na wewe nenda ukalime kama unataka wallet yako ijae.

Mlizoea kuwanyonya wakulima na wafugaji kwa kuchukua mazao yao kwa bei ya sawa na bure. Utakuta jitu linakunywa bia kwa mwezi za gharama ya laki mbili shs kwa mwezi lakini sembe na nyama linazokula na kufula gharama zake hazizidi shs 30,000/ kwa mwezi, umeme linaotumia kwa mwezi shs 250,000/. Sasa kipi ni cha muhimu kati ya hivyo vitatu? Kwa nini mzalishaji wa kitu cha mhimu kwa maisha yako unataka akuuzie mazao yake kwa bei ya sawa na bure wakati yule anayezalisha vitu ambavyo si vya muhimu kwako kuishi kama vilevi na umeme uko tayari kumlipa pesa ya kutakata?

Mkulima kupata gunia 100 za mahindi kwa mwaka si kazi rahisi. Lakini unakuta alikuwa anauza gunia moja la mahindi kwa shs 40,000 au chini ya hapo (yaani debe sh 7,000/ au chini). Maana yake capital income yake kwa mwaka ni 100×40,000 shs = sh million 4 tu hivyo kwa siku kipato chake kwa siku haifiki US dollar moja na kwa hiyo kwa viwango vya kimataifa ni masikini wa kutupwa. Tupandishe bei ya gunia la mahindi lifikie angalao shs 150,000/ ili kumwondoa mkulima huyu katika kundi la masikini wa kutupwa. Hii ndiyo njia pekee ya kuondokana na umasikini. Wakulima na wafugaji wetu waneemeke. Sasa hivi eti tumekazania kuwaneemesha waigizaji na wasanii wa bongo movie na bongo flava badala ya wakulima, wafugaji na wavuvi. Hii si sawa.
 
Wana JF. Habari za kuaminika kutoka wataalamu wa kiuchumi duniani ambao hufuatilia uchumi duniani ikiwemo AFRIKA MASHARIKI.
Imetoa ripoti yake kuwa UCHUMI wa Tanzania UNAKUA haraka sana na tayari UME OVERTAKE nchi nyingine za kanda hii ya Afrika Mashariki ZOTE!

Sababu zilizotolewa ni kuwa Rais Magufuli amejaribu sana KUZIBA upotevu wa fedha na kuwa HANDS ON katika kufuatilia kwa karibu uchumi wa nchi yake na kuhakikisha uchumi unakua.

ripoti hii inasema kuwa kuna MATUMAINI makubwa kwa Tanzania kuwa KIONGOZI kiuchumi wa nchi za Afrika Mashariki.

Nafikiri kama Watanzania bila kujali vyama vyetu tuna HAJA ya KUJIVUNIA mafanikio ya awamu ya 5 badala ya kuangalia mapungufu.
Maana siku njema huanza asubuhi.
Chanzo:IOL
ECONOMISTS
NTV-Kenya.
IMF. etc.
uchumi unakua kwa porojo au kwa facts?? kinachokuza uchumi ni nini?? what is your currency strength?? duh, hongereni basi hata ukue zaidi ya marekani...nkt!
 
Angalia taarifa yako isije ikabebwa juu juu na TBCCM na kujikuta umewaingiza mkenge wenzako na kusababisha wasimamishe kazi,uchumi unakuwa wakati shirika la fedha limeshatahadharisha kuwa zisipochukuliwa hatua za makusudi Tanzania itafirisika rasmi mwezi June?

Tukubaliane,kama kuna tetesi za kukuwa kwa uchumi,basi utakuwa uchumi wa chattle na Bashite,si uchumi wa Tanzania.
Mkuu, hizi ni taarifa zilizodhibitishwa na HAZINA chumvi.
 
Mmmmmmh uchumi huo unakulia wapi wakati budget yetu haujatekelezeka kuzidi 40%
Uchumi unakuwa.Lakini katika biased opinions tunaona ni kama hakuna chochote. Mpaka watu wa nje watuambie badala ya sisi kuwa optimistic na hali ya nchi yetu. Jamani.
 
Ebu acha ujinga hivi unajua budget ya Kenya ni kiasi gani kwa mwaka? na umelinganisha na ya TZ ukaona kwamba jamaa wamelala nyie mnaokaba boda boda kukusanya kodi ndio mnakuwa. Wewe ulivyosikia ukashindwa kuchanganya na za kwako na kuona takwimu.

Kiongozi wenu kesha sema hajalibiwi wewe unamjaribu wenzio walikuwa TBC walisema kasifiwa na Donard kawafumua fasta ngoja wakutafute na wewe.
Mkuu, Mjumbe hauawi. Mimi sizungumzi POROJO nazungumza UTAFITI na analysis ya wanauchumi wa kmataifa.
 
SASA HIVI KUNA YAFUATAYO:
1.MBOWE AKIFANYA JAMBO JEMA LAZIMA APINGWE!
2.Magufuli akifanya Jambo jema lazima apingwe
3.Mbowe akikosea kidogo tu , wapo wanaofurahi!
4.Magufuli akikosea kidogo tu wapo wanaofurahi

Kwa fact hizo hapo juu hakuna great thinker ila tume mezwa na Ukabila , ukanda, udini jambo ambalo ni hatari sana!
 
Sembe ikipanda bei maana yake ni kuwa mkulima anapata fedha nyingi zaidi kutokana na jasho lake la kulima sembe. Mlizoea kuwapunja na kuwanyonya wakulima kwa kununua mazao yao kwa bei ya peanut. Acha wakulima wetu wauze sembe yao hata kwa Tsh 4,000 kwa kilo, korosho saa hizi angalao imefika 3,500 sh kwa kilo na mchele angalao 2,500 sh kwa kilo. Hii ndiyo kuwajaza wallet wakulima ambao idadi yao ni asilimia zaidi ya 80% ya watanzania. Ndiyo kukua kwa uchumi ambao hupimwa kwa per capital income. Huko nyuma wallet zilizokuwa zinajaa zilikuwa ni za wajanja wajanja tu. Sasa zinajaa wallet za wavuja jasho kama wakulima. Bei ya vyakula iendelee kupanda. Kama vipi na wewe nenda ukalime kama unataka wallet yako ijae.

Mlizoea kuwanyonya wakulima na wafugaji kwa kuchukua mazao yao kwa bei ya sawa na bure. Utakuta jitu linakunywa bia kwa mwezi za gharama ya laki mbili shs kwa mwezi lakini sembe na nyama linazokula na kufula gharama zake hazizidi shs 30,000/ kwa mwezi, umeme linaotumia kwa mwezi shs 250,000/. Sasa kipi ni cha muhimu kati ya hivyo vitatu? Kwa nini mzalishaji wa kitu cha mhimu kwa maisha yako unataka akuuzie mazao yake kwa bei ya sawa na bure wakati yule anayezalisha vitu ambavyo si vya muhimu kwako kuishi kama vilevi na umeme uko tayari kumlipa pesa ya kutakata?

Mkulima kupata gunia 100 za mahindi kwa mwaka si kazi rahisi. Lakini unakuta alikuwa anauza gunia moja la mahindi kwa shs 40,000 au chini ya hapo (yaani debe sh 7,000/ au chini). Maana yake capital income yake kwa mwaka ni 100×40,000 shs = sh million 4 tu hivyo kwa siku kipato chake kwa siku haifiki US dollar moja na kwa hiyo kwa viwango vya kimataifa ni masikini wa kutupwa. Tupandishe bei ya gunia la mahindi lifikie angalao shs 150,000/ ili kumwondoa mkulima huyu katika kundi la masikini wa kutupwa. Hii ndiyo njia pekee ya kuondokana na umasikini. Wakulima na wafugaji wetu waneemeke. Sasa hivi eti tumekazania kuwaneemesha waigizaji na wasanii wa bongo movie na bongo flava badala ya wakulima, wafugaji na wavuvi. Hii si sawa.

Aisee nimeshangaa kweeli!.....hivi wewe ni mtanzania kweli?una watu wanaokutegemea ili waweze kuishi?.....shabashiiii
 
Hivi ni kweli unaweza kupandisha uchumi wa mkulima/mfugaji kwa kupandisha gharama ya maisha kwa wananchi wako?....mimi nafikiri mkulima na mfugaji angeboreshewa mazingira mazuri ya uzalishaji kwa maana ya pembejeo za uhakika,madawa n.k kwa bei nafuu na kodi/ushuru usioumiza pia ili ata kama atauza mazao yake kwa bei ya kawaida aweze kupata faida nzuri na si kupandisha gharama ya mazao kwani mwisho wa siku ata huyu mkulima ana ndugu zake ambao ni wafanyakazi na wafanyabiashara pia ambao wataumia
 
Wana JF,

Habari za kuaminika kutoka wataalamu wa kiuchumi duniani ambao hufuatilia uchumi duniani ikiwemo AFRIKA MASHARIKI Imetoa ripoti yake kuwa UCHUMI wa Tanzania UNAKUA haraka sana na tayari UME OVERTAKE nchi nyingine za kanda hii ya Afrika Mashariki ZOTE!

Sababu zilizotolewa ni kuwa Rais Magufuli amejaribu sana KUZIBA upotevu wa fedha na kuwa HANDS ON katika kufuatilia kwa karibu uchumi wa nchi yake na kuhakikisha uchumi unakua.

ripoti hii inasema kuwa kuna MATUMAINI makubwa kwa Tanzania kuwa KIONGOZI kiuchumi wa nchi za Afrika Mashariki.

Nafikiri kama Watanzania bila kujali vyama vyetu tuna HAJA ya KUJIVUNIA mafanikio ya awamu ya 5 badala ya kuangalia mapungufu.
Maana siku njema huanza asubuhi.

Chanzo: IOL
ECONOMISTS
NTV-Kenya.
IMF. etc.
Ina maana hawa wanapinga na report ya world bank?nani mkweli?
 
Kwenye kudhibiti mianya ya rushwa Magufuli wafanye zaidi. Refer CAG
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom