Maajabu ya madereva wa mabasi ya mikoani

fiter

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
1,144
78
Hawa madereva hawana umoja na hawajitambui kwasababu haiwezekani hii ishu ya dengue risiti imeandikwa walipie 1000 wao wajanja wachache wamebadilisha na kusomeka elfu 65000 nao wamelipa.

Hata kama ni hizo dawa za kupulizia haiwezi kufika 65 na isitoshe serikali ilishasema imeweka milion 500 za kupambana na dengue.

Hawa jamaa wangegoma kama wa malori walivyomgomeaga mzee wa misifa Magufuli wasingelipia hata 100, ukizingatia DENGUE ni ishu ya kisiasa zaidi.
 
Hivi kumbe wale madereva yale magari ni yao!!!

TUMIA AKILI KWANI trafic anapodai faini anamfuata mwenye basi au dereva?, pia hata wale wa malori walivyogoma kwani ni yao?
Unaweza ukagoma hata kama umepewa gari na bosi bz mda mwingne kuna hesabu utatakiwa ufikishe
 
Hivi ukikubali kurekebika halafu mada iendelee utapungukiwa nini???!!!
Madereva wa malori waligoma kwa sababu zipi????!!!! Je waligoma au waligomeshwa????!!!
 
hawa madereva hawana umoja na hawajitambui bz haiwezekani hii ishu ya dengue risiti imeandikwa walipie 1000 wao wajanja wachache wamebadilisha na kusomeka elfu 65000 nao wamelipa hata kama ni hzn dawa za kupulizia haiwezi kufika 65 na isitoshe serikali ilishasema imeweka milion 500 za kupambana na dengue
hawa jamaa wangegoma kama wa malori walivyomgomeaga mzee wa misifa magufuli wasingelipia hata 100, ukizingatia DENGUE ni ishu ya kisiasa zaidi

Rudi tena kufanya uchunguzi.Wanaosimamia upulizaji wa dawa ya kuua mbu ni afisa afya (serikali) wakishirikiana na tabao, umoja wa miliki wa mabasi yaendao mkoani. TABAO ndio walioandaa risiti, kama basi halijapuliziwa dawa anayepigwa faini ni mmiliki wa basi hilo na sio dereva, ukaguzi unafanyika ubt asubuhi kabla basi halijaanza safar.
 
hawa madereva hawana umoja na hawajitambui bz haiwezekani hii ishu ya dengue risiti imeandikwa walipie 1000 wao wajanja wachache wamebadilisha na kusomeka elfu 65000 nao wamelipa hata kama ni hzn dawa za kupulizia haiwezi kufika 65 na isitoshe serikali ilishasema imeweka milion 500 za kupambana na dengue
hawa jamaa wangegoma kama wa malori walivyomgomeaga mzee wa misifa magufuli wasingelipia hata 100, ukizingatia DENGUE ni ishu ya kisiasa zaidi

Bongo bwana Kufa kufaana sasa tunaanza kupata wasiwasi kuwa vigogo wanatumia fulsa hii ili wamalizie maghorofa yao,
 
Hivi ukikubali kurekebika halafu mada iendelee utapungukiwa nini???!!!
Madereva wa malori waligoma kwa sababu zipi????!!!! Je waligoma au waligomeshwa????!!!

We unaugua denge madereva waliamrishwa na wamiliki wa Malori na wakawaambia wayatelekeze hata barabarani, mimi niliwaukiza madereva kadhaa wanieleza kuwa ilikuwa ni amri ya mabosi wao
 
We unaugua denge madereva waliamrishwa na wamiliki wa Malori na wakawaambia wayatelekeze hata barabarani, mimi niliwaukiza madereva kadhaa wanieleza kuwa ilikuwa ni amri ya mabosi wao

Na bado huoni kuwa motive lazima iwe ya owner!!!!?????
Kweli kabisa unakomaa na hili!!!!?????
 
Mwanzo hukumbuki ulichoandika? Mbona unapingana na maelezo yako ya awali!!!

Ok. Just elewa kuwa mgomo wa chombo lazima muhusika awe na interest sababu yeye ndio ana hasara na faida naongelea experience na ni biashara yangu usafiri kama hutaki hata uzoefu haya!!!!!!

Dereva atagoma kama tu maslahi yake yanaingiliwa sasa hapa analipa mwenye basi dereva agome ili iwe nini????!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom