Maajabu ya kuchukua salary advance

Mawematatu

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
468
601
Tangu utaratibu wa kuchukua salary advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.

Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi

Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeenda wapi kumbe salary advance..

Yote haya ni kutokana na ugumu wa maisha watu wanachukua sana hata kama watabisha
 
Haha ha ha
Tangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenybenko zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.

Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwaziwazwazlll

Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi..Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeendanl wapi kumbe benki advance..

Yote haya ni kutokana na ugum wa maishawatu wanachukua sana..hat kama watabisha
 
Pole sana kwa kulazimishwa kuichukua hiyo benki advance. Alaaniwe aliyekushikia mtutu wa bunduki na kukulazimisha uchukue benki advance la sivyo atakuua.

So sad
 
Tangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenybenko zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.

Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwaziwazwazlll

Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi..Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeendanl wapi kumbe benki advance..

Yote haya ni kutokana na ugum wa maishawatu wanachukua sana..hat kama watabisha
Na wewe ni mtumishi wa umma?!! Ndio hata kuandika huwezi!!!,
Aisee itachukua muda hii Nchi kujikwamua kwenye umasikini Kama watumishi wenyewe ni dizaini yenu
 
Hii kitu aliyebuni alaaniwe kwakwel nishakuwa kilema wa hii kitu yaan hata niwe na pesa ya kutosha mwez mzima ila lazima tu ntajikuta nimepata katatizo ka ziada najikuta nachukua ,yaan hii kitu inaleta jeur sana ,bora waitoe tu.
 
Tangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.

Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi

Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeenda wapi kumbe benki advance..

Yote haya ni kutokana na ugumu wa maisha watu wanachukua sana hata kama watabisha
Hii kitu sio kabisa japo haiepukiki kwasababu za hali kiuchumi tu lakini ni mwanzo wa kutokupiga hatua

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu aliyebuni alaaniwe kwakwel nishakuwa kilema wa hii kitu yaan hata niwe na pesa ya kutosha mwez mzima ila lazima tu ntajikuta nimepata katatizo ka ziada najikuta nachukua ,yaan hii kitu inaleta jeur sana ,bora waitoe tu.
Umasikini wako ndio unaokusumbua alafu unataka huduma isitishwe kwasababu ya shida zako zakushindwa kusimamia ela yako..Sasa wewe badala ushukuru kua inakusaidia unataka iondolewe tena.ina maana hujui jinsi ambavyo hiyo huduma inasaidia watu.hivi watu wengine mkoje.
 
Tangu utaratibu wa kuchukua benki advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.

Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi

Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi mwenyewe nishapata tabu kuamini kiasi kimeenda wapi kumbe benki advance..

Yote haya ni kutokana na ugumu wa maisha watu wanachukua sana hata kama watabisha
Aisee... Bank advance !?
 
Benki advance, huu ni msamiati mpya......inaonekana walimu mpo bize sana na fursa za kibenki.
 
Back
Top Bottom