Maajabu ya funguo niliyoiokota alfajiri ya leo

Funguo zingine zinaingiliana kwenye kufungua pekee ila kufunga hazifungi, so hamna maajabu hapo kama vp rudisha funguo ya watu.
 
Kuna siku mimi na jamaa yangu tulienda duka moja kununua funguo
Yalikuwepo ya aina nyingi
Kuna makufuri moja hivi kubwakubwa la pembe nne nlilipenda japo n kubwa haswa!
Nkaomb kulitazama ...nkalipenda
Nkaomba lingine tena
Wakanipa
Nikajaribu kufungua kwa funguo ya kufuri lingine ikafungua


Nkajisemea moyoni
Kumbe hili n kubwa jingaa
 
Back
Top Bottom