junior mzolo Senior Member Jan 26, 2014 140 7 May 25, 2014 #1 Heee, hivi hii miti ipo kweli au watu wameedit
junior mzolo Senior Member Jan 26, 2014 140 7 May 25, 2014 Thread starter #3 Dahh najaribu kuweka picha inaagoma
SAYANSIKIMU JF-Expert Member Feb 27, 2014 1,132 260 May 25, 2014 #7 Miti hiyo ipo mbona .HUKU NILIPO IPO MINGI KWELI.
Murano JF-Expert Member Mar 11, 2012 2,058 1,099 May 25, 2014 #10 mankachara said: Naona sioni mti hapa Click to expand... hata mi sioni
mankachara JF-Expert Member Sep 27, 2013 6,139 3,450 May 25, 2014 #11 kasaloo said: hata mi sioni Click to expand... Sijui mtoa mada amekusudia nini
Mshuza2 JF-Expert Member Dec 27, 2010 11,007 16,413 May 25, 2014 #13 Duh..kweli ajabu,aisee..inapatikana wapi hii mkuu?
kibaa JF-Expert Member Aug 29, 2011 717 177 May 27, 2014 #20 kutoiona hiyo miti wakati yeye anaiona ndiyo maajabu yenyewe ya dunia