Maajabu ya Dunia , watu wa Kisiwa Cha Tumbatu Zanzibar Hawajawahi Kuona Gari.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,051
3,255
Kupitia BBC Swahili ,Makala Fupi Imeonyesha Maisha ya Watu Wa Kisiwa Cha tumbatu Kilichopo Zanzibar .Bibi wa Miaka 50 amesema hajawahi Kuona Gari kwa Macho yake , Si Kupanda Bali kuliona.
Na katika kisiwa hiko hakuna Siku Gari limekaja Ardhi hiyo. .

Hakika Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.

Na hapo nimeaminii hakika Serikali Ina Kazi ya Ziada ...duuuh.
 
Hata mbwa hakina kile kisiwa sio gari tu. Pikipiki na baiskeli zipo.

Ila pia umeme wanao. Na nyumba za ghorofa zipo.
 
Hata mbwa hakina kile kisiwa sio gari tu. Pikipiki na baiskeli zipo.

Ila pia umeme wanao. Na nyumba za ghorofa zipo.
Ivi walisbazaje Material Kutoka Ufukweni kwenda site ..au walikua wanazomba letsay mfuko mmoja mmoja wa cement .
 
Ivi walisbazaje Material Kutoka Ufukweni kwenda site ..au walikua wanazomba letsay mfuko mmoja mmoja wa cement .
Hapo mbali kuna kijiji huko mbeya niliwahi soma historia yake pale kwenye ule mto mkuubwa wenye maajabu ya kutanguliza mguu fulani ili uvuke na hakina daraja daraja lale ni jiwe kuubwa chini maji yanapita hicho kijiji nadhani hata pikipiki hakina jamaa ni miguu gari mpaka waje mjini ndio wayaone
 
Ivi walisbazaje Material Kutoka Ufukweni kwenda site ..au walikua wanazomba letsay mfuko mmoja mmoja wa cement .
Asilimia kubwa ya vijimizigo vidogovidogo wanatumia magari ya ng'ombe( au punda) so inawezekana kabisa kubeba mizigo
 
Waziri wa vikosi vya ulinzi zanzibar ndio jimbo lake na ni muakilishi kwa tiketi ya ccm,Haji Omar Kheri.
 
Back
Top Bottom