Maajabu ya dawa ya Fentanyl

Dejavu

JF-Expert Member
May 31, 2018
1,568
3,424
Fentanyl ni Dawa halali (painkiller) yenye kutibu maumivu makali sana kama extreme chronic pain kama advanced cancer stage yenye excruciating pain isiyovumilika.

Dawa hii ina opioid zao linayotumika kutengenezea heroin na ina nguvu mara 100 ya heroin yenyewe sasa kidonge kimoja chenye milligrams 2, sawa na punje tatu ndogo za mchele kinatosha kabisa kumtoa binadamu mwenye uzito wowote uhai ndani ya dakika 10 tu. Overdose yake ilimuua mwanamuziki maarufu wa marekani Prince kwa kunywa kidonge kimoja tu.

Kidonge hichi ni cha maajabu sana na wote wanaokufa kwa overdose ya hiki kidonge wanakufa wakiwa kwenye raha kubwa mno simply mtu akinywa kidonge hiki huwa kina bind up na zile receptor za kwenye ubongo zinazohusika na maumivu na kublock maumivu ya aina yeyote na kurelease dopamine hormones zile zinazotolewaga pale mtu anapofikia mshindo kwenye tendo la ndoa zinafanya hivyo kwa muda mrefu na kupelekea organs Muhimu kama moyo kutopata order ya kupump damu na kusimama na kupelekea mhusika kufariki huku akisilizia utamu wa ajabu kama anavyofikia mshindo. Hii ndio inaitwa kufa kunoga. Vipi Unbelievable? Believe it.

Balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol .. aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi dawa ndio zilizomua Yule Rapper Mac Miller??kuna chanzo kimoja niliona wametaja dawa kama hz kuwa alichanganya na heroin,,jamaa akazima,,,ila cha kusikitisha zaid jamaa alifariki akiwa amepiga magoti kainamia kitanda dzain kama alikuwa anasali vile
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom