Maajabu ya awamu ya Sita: Hotuba za mama zinapokonga nyoyo za watu

Nimekujibu na kulipa na majibu ya nyongeza. Ninakazia:

"Una uhakika gani kuwa wanaomsifia CCM hawamo?"

Povu lote hilo ni la Omo tu au cha Arusha kimo?

Mwaka huu mtaokota sana makopo hadi yaliyopo majalalani.

Nyambafu!!
Nakuhakikishia, nitaendelea kuwepo CCM na JF hata baada ya Mama. It's not a threat, but a promise!
 
Mabibi na mabwana pongezi nyingi zimfikie mama Samia rais wetu.

Ama kwa hakika kajua namna za kukonga nyoyo za watu wake. Mama amekuwa muwazi. Sote sasa tunajua angalau tulipo na tunakoelekea.

Mama anaeleweka na mama anasomeka.

Mama hana makeke, mama hana kuomba omba kuombewa. Mama anajua anaongoza watu wenye akili zao si kundi la ng'ombe. Mama anachapa kazi.

Heka heka za kutafutana mitandaoni na ma bounty mazito mazito vichwani mwa watu yamekoma.

Pole pole tunaamini tutafika tu kunako mzizi wa yote kutakako tufanya tuwe watu wa furaha bila kujali nani yupo ikulu tena. Huko ni kunako katiba muafaka. Itakayotufanya tusijerejee tena kubaya kokote tulikotoka.

Kwa maneno yake mama mwenyewe, hii nchi ni yetu sote - na huu ndiyo ulio ukweli!

Ikumbukwe kuwa hotuba za mama zimeleta faraja si hapa nchini tu, bali hata katika mataifa alikokwisha kuzuru. Kwa hakika mama katutoa kimasomaso.

Hadhi yetu kama watanzania, inarudi.

Heko mama Samia Suluhu Hassan rais wetu.

Hadi hapa hakuzingui mtu.
Hiki kinawaudhi sana wafuasi wa dicteta
 
Hata mimi nimeona. Hotuba yake iko vizuri. Imejaa busara na hekima sana...

Hata kama umeomba jambo lakini likawa haliwezekani kutekelezeka, anatoa maelezo ya wazi yenye sababu za kueleweka kirahisi kabisa...

Yaani hata kama mtu ulikuwa unadai deni, kwa maelezo haya tu, waweza kujikuta nguvu ya kudai inaisha hapohapo kwa kuwa unakuwa umeelewa maelezo na sababu za mdeni wako kushindwa kulipa deni...

Huu ndio uongozi sasa. Siyo kama Pombe Magufuli. Huyo mnyampara wala hakuwa kiongozi 100%...

Angalia tofauti yake. Wakati wa Jiwe, kwa kuwa wazee wameomba pensheni, nakuambia, mtu asingeshangaa wala kuona ajabu kusikia kauli kama hii kutoka kwake;

"....nawalipa wazee Wa CCM tu nyie wengine shauri yenu kwa sababu mko kwenye mavyama yasioeleweka labda mkiamua kujiunga na CCM nitawalipa. Serikali ya CCM ina hela nyingi. Tanzania ni dona cantri bwana. Hatuwezi kushindwa vipensheni tu kwa wazee wetu...!!!"

Lakini, aah huyu mama is very Inteligent, humble, humanly with full of wisdom....

Sijawahi kuipenda CCM wala viongozi wake. Ila huyu mama nadhani naweza kuanza kumuunga mkono kwa 100% sasa nje ya CCM...

Namwombea kwa Mungu Baba Yehova aendelee kumpa maarifa, busara na hekima ktk uongozi wake..AMINA..!!
"....nawalipa wazee Wa CCM tu nyie wengine shauri yenu kwa sababu mko kwenye mavyama yasioeleweka labda mkiamua kujiunga na CCM nitawalipa. Serikali ya CCM ina hela nyingi. Tanzania ni dona cantri bwana. Hatuwezi kushindwa vipensheni tu kwa wazee wetu...!!!"
 
Mabibi na mabwana pongezi nyingi zimfikie mama Samia rais wetu.

Ama kwa hakika kajua namna za kukonga nyoyo za watu wake. Mama amekuwa muwazi. Sote sasa tunajua angalau tulipo na tunakoelekea.

Mama anaeleweka na mama anasomeka.

Mama hana makeke, mama hana kuomba omba kuombewa. Mama anajua anaongoza watu wenye akili zao si kundi la ng'ombe. Mama anachapa kazi.

Heka heka za kutafutana mitandaoni na ma bounty mazito mazito vichwani mwa watu yamekoma.

Pole pole tunaamini tutafika tu kunako mzizi wa yote kutakako tufanya tuwe watu wa furaha bila kujali nani yupo ikulu tena. Huko ni kunako katiba muafaka. Itakayotufanya tusijerejee tena kubaya kokote tulikotoka.

Kwa maneno yake mama mwenyewe, hii nchi ni yetu sote - na huu ndiyo ulio ukweli!

Ikumbukwe kuwa hotuba za mama zimeleta faraja si hapa nchini tu, bali hata katika mataifa alikokwisha kuzuru. Kwa hakika mama katutoa kimasomaso.

Hadhi yetu kama watanzania, inarudi.

Heko mama Samia Suluhu Hassan rais wetu.

Hadi hapa hakuzingui mtu.
sio kwamba Mama ni mzuri sana bali nyoyo zetu zilishaumizwa na Yule nyoka wa zamani, ibilisi shetani.

kuna unafuu tu.
 
Mwenyezi Mungu azidi kumbariki @ Madam President Samia.

Azidi kumjalia afya njema, Uzima na hekima.
 
Tofautisha wana CCM na magenge yenu ya yale makabila ambayo mama inabidi afanye hima kuyazingua mapema iwezekanavyo.
Mama Suluhu akifuata ushauri mbovu kama huu wako, atakuwa kiongozi mbovu zaidi.
Natumaini anayo akili ya kutosha kuelewa na kuepuka jambo la kipuuzi kama hili uliloandika hapa.
 
HEBU TUWE WAKWELI TUACHE UONGO!.

Samia Suruhu Hassan ni Rais wa sita wa Tanzania katika kipindi cha awamu ya tano, tukumbuke rais huyu hakuwa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi kama mgombea wa nafasi aliyopo sasa.

Sijui katiba inasemaje ila kiuhalisia wengi tunapotoshana sana hapa na sehemu nyingine, sijui kwa kutofaham au tunaogopa kusema au tunapaka rangi kwa ile dhana ya king'ae hata kama kimechoka.

Nimejiuliza sana, kwa nini awamu ya sita how?

Ina maana akiingia kwenye kampeni uchaguzi ujao tutamuweka nafasi ya awamu ya saba na rais wa saba au itakaaje?.

Labda kama kuna kitu cha ziada ambacho kiitifaki/siasa hakipobsawa na sikijui tunaweza kuelezana hapa.
Asante.
 
Mimi nilijibu niliyoona kwenye bandiko lako hapo, ya nini nihangaike na hayo mengine?

Safi kabisa.

Kweri kabisa huna haja ya kuhangaika. Umejibu vyema sana kwa maana umetoa tafsiri sahihi ya kudandia treni kwa mbele.

Komaa hapo hapo 😂😂😂😂😂😂😂!
 
Mama Suluhu akifuata ushauri mbovu kama huu wako, atakuwa kiongozi mbovu zaidi.
Natumaini anayo akili ya kutosha kuelewa na kuepuka jambo la kipuuzi kama hili uliloandika hapa.

Hahaahaaa haa! Hiiiiii bagosha!

Pole sana. Utakuwa unasoma kinyume nyume.

Sina ushauri kwa mama na wala sijaomba na wala sitaomba kazi hiyo.

Wewe mwenye ushauri mzuri si ukajipe kazi hiyo? Kwani una hata haja ya kuomba? Jipe mwenyewe!
 
Back
Top Bottom