Maajabu: Wosia wa mama kwa binti yake anayeenda kufanya 'kazi za ndani'

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,638
3,850
IMG_201611328_091626.jpg
 
Ndo muache kumtegemea house girl kwa kila kazi.Ametumwa kwa ajili ya maendeleo ya familia yake.Watawakomesha kwa uvivu wenu
 
Wanawake wa kidigitali.. wamekusikia mkuu...!
miguu kwenye sofa, akitoka whatsapp,anaingia FB, akitoka FB anaingia Insta, akitoka Insta, JF
remote pembeni,flat screen kubwa ukutani, anabadili channel tu asubuhi hadi jioni...
Mume anarudi toka kazini, swali la kwanza mbona umechelewa kurudi, hata pole hakuna.
Maji ya kuoga, Chakula aandae HG...!
 
Hiyo ilitokea huko Handeni maeneo ya kibirashi. Watu walisikia akifundwa binti
 
Kumbe wa mama wa shamba wanajua vyema changamoto za hawa wake zetu tunao okoteza huku mjini eti wanawake wengi wa mjini wavivu. na nyie wake zetu wosia Huo hapo kazi kwenu otherwise mtapinduliwa mpaka mnyooke
 
Ndo muache kumtegemea house girl kwa kila kazi.Ametumwa kwa ajili ya maendeleo ya familia yake.Watawakomesha kwa uvivu wenu
Kazi iliyomleta ni kufanya kazi hajaja kukaa bure
 
Mama aache kuishi kwa hostoria mujini kuna majakuzi, na instant heaters, maji hayapelekwi bafuni. .
Wamama wa mjini tuna kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom